Hongera wana JamiiForums

 


karibu sana Cicy, nadhani umeshajifunza na kuona meni humu ndani.. kuwa mvumilivu tu.. maana humu ndani kila mtu ana upeo wake wa kufikiri...... Note this Jamii Forums ni kipimo cha uvumilivu
 
Yah ni kweli mkuu karibu jf
 
Karibu sana.
Kuwa makini na akina Zubeda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…