eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,801
- 16,474
Bwahaa haaa haaa
That's a super bottle.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kusema nini mkuu?Kwanini amevaa gloves mikononi?
Umekosa kunielewa kimakusudi ama nini? Hakuna Hongera bila kakitu bwana eeh..Lazima hatu waonje machozi ya simba😀😀Shida gani? Wenye kufata ulevi wa papuchi wafate tu. Kwa mmea hivo hivo. Kileo pia. Wewe unayashangaa maisha ya mwanaume mwenzako? Wewe ni mke mwenza wa mamarosa nini?
Umesahau kutupia pia na picha ya mama ya Rais Uhuru Kenyatta akipika maandazi. [emoji38][emoji38][emoji38] Yuziles!Umekosa kunielewa kimakusudi ama nini? Hakuna Hongera bila kakitu bwana eeh..Lazima hatu waonje machozi ya simba😀😀
Akili kubwa... ...Rais uhuru Kenyatta amekutana na Malkia Elizabeth wa Uingereza mjini London na kufanya naye mazungumzo ikiwepo juu ya maendeleo ya watu wa Kenya na uchumi kwa ujumla,hongera sana kiongozi bora wa AfrikaView attachment 751257View attachment 751258
Huogopi sayansi ya kiafrika wewe? Endelea kuwasalimia waafrika mikono yako ikiwa peku peku. Utaumia sana. [emoji38]Malkia anamsalimia Uhuru kavaa gloves.....hilo sio tusi kweli?