Mmh!!Hata mm nina mashaka na hili maana kila siku tunasikiaga wanakamatwaga na ile kitu wanayokula jamaa then wanasinzia wakiwa wamesimama...hongera sana kijana..swafiiiii
lakini ni music tu wa bongo ndo umekulipa au kuna mishe unafanya
Mmh!!Hata mm nina mashaka na hili maana kila siku tunasikiaga wanakamatwaga na ile kitu wanayokula jamaa then wanasinzia wakiwa wamesimama...
Pamoja mkuu,kuna mmoja anaitwa timbulo (if i'm not wrong maana hawa jamaa hawanipi mzuka wa kuwasikiliza tofauti na nyimbo zetu za zilipendwa) nimesikia nae alidakwa juzi kati kwenye nchi mojawapo ya afrika mashariki.....kazi kweli kweli kwa vijana hawa.hahaaah...ni kweli mkuu maana tunajua kuwa kibongobongo muziki haulipi ndo maana wasanii wetu wanaishi kama ombaomba wanagongea hadi sigara na bia...na nimewahi kusikia jamaa huyu tunda kuwa naye ni miongoni wa wasanii wanaobebeshwa madawa ya kulevya, wengine wanaotuhumiwa kub ebeshwa ni kama wafuatao
>mr blue
>dogo hamidu
>matonya
>ney wa mitego
wengine mnaweza kunisaidia wanatakiwa kujua kila kitu kina mwisho wake ivo wakae wakijua hilo,lakini kama wanasingiziwa basi tunawapongeza kwa mafanikio yao
EXCLUSIVE: PICHA 19 ZA NYUMBA ANAYOMILIKI NA KUISHI MSANII TUNDA MAN, PICHA ZA JIKO, SEBULE NA CHUMBANI.
hawachelewi kusema unalidhalilisha jeshi
nyumba mwanamke aoe sasa ataona mabadiliko ya nyumba yake
Wanawake wengine ovyooo kabisa bora hata nyumba chafu kuliko baadhi ya wanawake
kama vile sijakuelewa mkubwa!
Namaanisha hivi si kila mwanamke ni msafi mwingine unaweza oa ndio nyumba ikazidi kuwa chafu. kuna tuliokwish waona yaani ukiona mwanamke hata nguo yake ya ndani anaiweka chini ya godoro badala ya kuifua unategema nini si ni bora tunda mani ajikalie na uchafu wake kidogo kuliko kuwa na mwanamke wa aina hiyo mwacheni asiju kukurupuka ili aweze kumpata mwanamke watakayesaidiana na kushauriana juu ya mambo mengi likiwemo hilo la usafi
yaliyomo yamo sasa nimeelewa
na kama hayamo yanakuja. haya nenda kalale sasa unafanya ini humu saa hii??
poa usiku mwema mi ndo na sign out hivyo