Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
wazee kumaliza mjadala...
1. natumia maujanja kama nilivyotaja hapo juu.. thanks to C6 na chief-mkwawa. hawa bratha wawili ndo wameniweka mjini, much love
2. nimeunganisha modem moja tu. nilisahau zingine dar kwa wenge za kwenda kuchukua Xbox pale Arusha
3. model ya modem nayotumia ni huawei E303. sijui speed yake, ila huwa nagusa 1MB/s siku moja moja nikiwa dar
4. hiyo speed mi huipata kuanzia saa nne usiku (4 AM) mpaka saa moja asubuhi (7 AM) PEKEE. muda mwingine wote voda inasua sua. ila sina presha maana hata nikiamka saa kumi na moja huwa nashusha 4GB kabla ya saa moja
5. nitaazima modem kwa jirani leo. screenshots nitaweka asubuhi
6. natumia Premium Fileserver (as in nalipia kabisa= unlimited download speeds).
7. huwa bado nastream youtube huku nadownload file ndogo ndogo kwa mozilla maana niliona nikidownload file mbili kwa IDM huwa zinaingiliana speeds na m.twitter.com haina support resume
8.
huyu braza mjanja balaa. much respect mkuu
kuna kitu kimoja hujafkiria, speed ya dashboard ni speed ya computer nzima wakati idm inaonesha download moja tu. tuchkulie mfano huu.
nina download vitu 4 at same time
idm napata speed 100KBps
torrent napata speed 100KBps
naangalia youtube 360p 100KBps
naupdate computer napata 100KBps
sasa wewe ulichofanya ume assume kwenye computer software inayokula bandwitch ni idm tu na ukatoa possibilities za software nyengine kula bandwitch.
mfano wangu hapo juu idm ingekua 100kBps na dashboard ingekua 3.2mbps ungekataa speed hio.
hapo leh inaonesha 11mbps sababu si idm tu inayokula internet kuna software nyengine. maybe kaeka wifi anacheza online kwenye xbox yake, au computer inajiupdate au ana spyware anadownload mavirusi tu. anyway anajua mwenyewe.
to conclude speed ya idm si lazima iwe hiyohiyo kwenye dashboard kuna software zaidi ya idm nazo zinatumia internet
mwenyewe anasema anatumia modem moja ya huawei E303. ambayo bila shaka ni 7.2mbps.
itawezekana vipi iwe 11mbps kama inavyoonekana kwenye dashboard.
hii hutokea kama kuna superposition ya drivers kwenye system (driver moja kujimultiply several times). kumaanisha kuwa dashboard speed, na even downloaded data hazipo sahihi. ndio maana mobile partner 21 na waliomtangulia ukigusa tu sehemu ya statistics inakuja warning kuwa ''statistics not accurate....''
tangu nimekuja mwanza mtandao wa voda umekuwa haunipi kile nilichokuwa nakipata nikiwa huko nilikokuwa, baada ya voda kupotea hewani kama siku 3 hivi nikaamua nijiunge na internet ya tigo japo niwe tu online maana uwa siwaaminii hawa jamaa, my suprise came baada ya kuona kitu hakishuki chini ya 1mbps, wastani inakaa 2.4mbps na maximum ambayo nimeipata so far ni 5.1 mbps(japo sikuipiga picha nilikuwa on shock) hiyo hata voda hawajawahi kunifikisha hapo..
kwa siku nashusha mpaka 5Gb kila siku tangu niishtukie...
kwa hili nawapa heko tigo kwa kunipa kasi ya ajabu
kaka hivi unajua tofaut kati ya ulichokiandika wewe (Mbps) na kitu hiki (MBps)
Sasa hapo cjaelewa unaizungumzia ipi
njunwa wamavoko kakujibu, angalia picha, ilikuwa nji typing error mkuukaka hivi unajua tofaut kati ya ulichokiandika wewe (Mbps) na kitu hiki (MBps)
Sasa hapo cjaelewa unaizungumzia ipi