Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 895
Wana JF.
Tunapenda kutoa pongezi kwa kampuni ya Silent Ocean ya China kwa kurudisha hudumu ya kusafirisha vifurushi (loose cargo) baada ya kusitisha kwa muda kutoka China mpaka Tanzania, sasa hivi wanapokea makontena na loose cargo.
Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wamefurahishwa na hali hiyo.
Pia kampuni ya Silent Ocean imepanua huduma zao huko China na wameanza kupakia mizigo ya nchi za Rwanda, Burundi, Angola, baada ya kufungua ofisi kwenye nchi hizo.
Raia wa Angola,Rwanda, Burundi, wamefurahishwa na hiyo kampuni ya Silent Ocean kuwezesha kukuza uchumi wao.