lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,184
- 33,511
Mama ako alibeba kituko miezi tisaUlikuwa na jeuri sana + dharau
Vipi upo wapi tukaandamane?
Chadema ni lazima ife
Ukweli aliyoyasema kwa miezi miwili ni somo kubwa sana.Hongera Sana Lissu,kwa kampeni nzuri kabisa zenye elimu ya Uraia murua kabisa.
Hongereni Sana wagombea ubunge wa Chadema na ACT kwa kazi nzuri mliyofanya mkiwa wabunge na kazi nzuri wakati wa kampeni.watu waliwaelewa sana.hongera Sana Chadema kwa kuendesha kampeni za kisayansi.
Kikubwa zaidi hongereni Sana kwa kusaidia kufikisha ujumbe kwa dunia bila nyinyi kujua juu ya yanayoendelea hapa Tanzania,sio tu dunia hata Raia wa nchi hii wamejua mengi.
Dunia imejua rangi halisi ya nchi hii kwa Sasa.
Kazi mliyoifanya mtaona majibu yake baada ya muda mfupi ujao hapa nchini na nje ya Tanzania.
Nyinyi Ni mashuajaa nawaambieni,Chadema na ACT Ni mashujaa wa Taifa.
Kampeni zenu zimepenya Hadi ulimwenguni kote.
Muda niwalimu mzuri.
Kwa kilichofanyika Chadema na ACT tuko pazuri mno. Tuachane na huu ugaidi uliofanywa jana na leo na kuendeleaHongera Sana Lissu,kwa kampeni nzuri kabisa zenye elimu ya Uraia murua kabisa.
Hongereni Sana wagombea ubunge wa Chadema na ACT kwa kazi nzuri mliyofanya mkiwa wabunge na kazi nzuri wakati wa kampeni.watu waliwaelewa sana.hongera Sana Chadema kwa kuendesha kampeni za kisayansi.
Kikubwa zaidi hongereni Sana kwa kusaidia kufikisha ujumbe kwa dunia bila nyinyi kujua juu ya yanayoendelea hapa Tanzania,sio tu dunia hata Raia wa nchi hii wamejua mengi.
Dunia imejua rangi halisi ya nchi hii kwa Sasa.
Kazi mliyoifanya mtaona majibu yake baada ya muda mfupi ujao hapa nchini na nje ya Tanzania.
Nyinyi Ni mashuajaa nawaambieni,Chadema na ACT Ni mashujaa wa Taifa.
Kampeni zenu zimepenya Hadi ulimwenguni kote.
Muda niwalimu mzuri.
Kwa kilichofanyika Chadema na ACT tuko pazuri mno. Tuachane na huu ugaidi uliofanywa jana na leo na kuendelea
Mbona CCM wanatangazwa au ww unasemea nani walioshinda ad wanaogopa kutangazwa.? Acheni visingizio.Hongera Tundu Lissu hata walioshinda wanaogopa kutangazwa.
Imeonesha kwamba jamaa atatawala kwa ugumu sana maana watu hawampendi. Tusishangae ulinzi wake ukiongezeka kufika magari mia sasa.lissu ni jembe, ni mwamba, magufuri kapata cha moto na bado lissu atampa cha moto mpaka akome
Ulikuwa na jeuri sana + dharau
Vipi upo wapi tukaandamane?
Chadema ni lazima ife
UTAKUFA wewe. Chadema haifi na haitakufa.Ulikuwa na jeuri sana + dharau
Vipi upo wapi tukaandamane?
Chadema ni lazima ife