Hongera sana Dr Slaa ;Ujasiri wako unatisha

Status
Not open for further replies.
Dr Slaa ni tishio kwa CCM na serikali yake.

Akigombea 2015 CCM ijiandae kuwa upinzani.

Siunajuwa Makamanda wameamua kuweka Akili mfukoni na kuwa Makasuku wanapenda kuongea yale yanayowapendezesha Slaa na Mbowe,we leo mtu kama Lisu ameingia katika ujinga huu!ukiongea tofauti na wanachotaka kusikia mbowe na Slaa....unaitwa Msaliti!Usaliti si upo katika Ndoa
#Mbowe na Slaa wanafanya Biashara Siasa:Zitto anafanya Siasa Jamii#
 
Kama unamwona Zitto ni makini sana, mtetee kama wengine tunavyowatetea makamanda.
 
Siunajuwa Makamanda wameamua kuweka Akili mfukoni na kuwa Makasuku wanapenda kuongea yale yanayowapendezesha Slaa na Mbowe,we leo mtu kama Lisu ameingia katika ujinga huu!ukiongea tofauti na wanachotaka kusikia mbowe na Slaa....unaitwa Msaliti!Usaliti si upo katika Ndoa
#Mbowe na Slaa wanafanya Biashara Siasa:Zitto anafanya Siasa Jamii#
Tena mnae mshabikia Zito kama hampati hela yoyote poleni maana wenzenu wanalipwa kwa kufanya uasi huo
 
Kwa yeyote mwenye fikra pana anafahamu kuwa wala hakuna uamuzi rahisi kuhusu Zito.Wafadhili wake hawako tayari kuona kuona cdm inatulia.After all waliapa cdm ife kabla ya mwaka kuisha.lakini naona siku zinayoyoma na cdm bado ipo.Ndiyo kwanza Makete inazoa vijiji
 
Madikteta wote ni majasiri sana. Mfano Savimbi, Seif Shariff, Salva Siir wa South Sudan, Bush etc.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom