Hongera sana Dr Slaa ;Ujasiri wako unatisha

Status
Not open for further replies.
Na bado mtakataana sana mwaka huo mpya.
Siku zote walivyokuwa wakijaa kwenye mikutano yenu hapo nyuma hamkuwaita majina msiyoyapenda ila leo hii mnawaita ni wanaccm.
Nyie kukataana hamjaanza leo.
Halafu mie huwa nawashangaa sana,ivi nyie chadema mnadhani wananchi mmewakatia hati miliki?eti mkutano wa slaa waje na mkutano wa wengine wasiende.
Ubaya wa mikutano ya magamba na hata ya Zito mpaka muwape hela au mtumie mafuso kusombelezea. Ya Slaa wanakuja wenyewe mkuu.
 
Dr Slaa ni tishio kwa CCM na serikali yake.

Akigombea 2015 CCM ijiandae kuwa upinzani.
 
Yaani huyu Mzee anatakiwa atunukiwe nishani ya heshima kabisa.

Kumbuka huyu mzee ndiye aliyewapukutisha kina BALALI, Rostam an kina Lowasa na issue zao za EPA, Deep Green na Meremeta.

Huyu Mzee ndiyo kawafanya vijana wengi waweze kuongea na kukemea Hadharani. Kimsingi kawaambukiza ujasiri vijana wengi sana ndani na nje ya Bunge letu.

Huyu Mzee akisimama 2015, lazima mafisadi wakapunzike.

Receive my Like pls!
 
dr slaa ni jembe mungu amubariki kwa kazi ambayo amefanya tena nzuri sana. Dr slaa go go go go go go go M4c siku zote .
 
Nani anabisha kuwa chama kikuu cha upinzani kabla ya Slaa kilikuwa CUF?Ni uchaguzi upi ambao cdm kimekuwa cha pili mpaka ccm wana hangaika kuwa tumia akina Zito kama siyo baada ya Slaa kupindua mambo.
 
Bora wazee wa bhangi Na unga!
Kambi ya Lumumba sasa hivi imkosa hoja kabisa nafkiri baada ya kuchanganyikiwa kwenye operation Tokomeza, watu wenu walivyo baka akina mama.Nchimbi amekumbwa na anguko.Sasa naona mmebaki na gongo gongo gongo ndiyo nini? nani mjinga mnayefikiri mnamchezea
 
DR SLAA NDIYO TEGEMEO LA WATANZANIA , na hajawahi kutishiwa nyau hata siku moja , MAGAMBA yakimuona yanapukutika yenyewe !
 
Nani anabisha kuwa chama kikuu cha upinzani kabla ya Slaa kilikuwa CUF?Ni uchaguzi upi ambao cdm kimekuwa cha pili mpaka ccm wana hangaika kuwa tumia akina Zito kama siyo baada ya Slaa kupindua mambo.

nakuunga mkono kamanda .
 
BABU apewe haki yake ya kupumzika na kutafakari namna ya kumalizia uzee wake duniani,kumpa majukumu mazito ni kutomtendea haki.
 
Dr.asante kwa kazi nzuri ya kukijenga chama na Tanzania mpya inayochukia unafiki na usaliti.Tafadhali Dr. mara baada ya sikukuu mtuondolee Yuda Iskaliote ambaye kwa malipo kidogo tu ametusaliti watanzania wazalendo.
 
Siunajuwa Makamanda wameamua kuweka Akili mfukoni na kuwa Makasuku wanapenda kuongea yale yanayowapendezesha Slaa na Mbowe,we leo mtu kama Lisu ameingia katika ujinga huu!ukiongea tofauti na wanachotaka kusikia mbowe na Slaa....unaitwa Msaliti!Usaliti si upo katika Ndoa
#Mbowe na Slaa wanafanya Biashara Siasa:Zitto anafanya Siasa Jamii#
 
Ubaya wa mikutano ya magamba na hata ya Zito mpaka muwape hela au mtumie mafuso kusombelezea. Ya Slaa wanakuja wenyewe mkuu.
Siunajuwa Makamanda wameamua kuweka Akili mfukoni na kuwa Makasuku wanapenda kuongea yale yanayowapendezesha Slaa na Mbowe,we leo mtu kama Lisu ameingia katika ujinga huu!ukiongea tofauti na wanachotaka kusikia mbowe na Slaa....unaitwa Msaliti!Usaliti si upo katika Ndoa
#Mbowe na Slaa wanafanya Biashara Siasa:Zitto anafanya Siasa Jamii#
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom