Hata afanye nini bila kuchakatwa ni hopelessHongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya akhera hatayaleta faida.
Hongera hongera mwanasheria kwa kuamini dunia sio chochote
Quran inasema
“Hakika Allah huwapenda wanaotubu na huwapenda wanaojitakasa.”
(Qur’an 2:222)
Hata afanye nini bila kuchakatwa ni hopeless
Hata afanye nini bila kuchakatwa ni hopeless
Hata afanye nini bila kuchakatwa ni hopeless
Wewe ushachakatwa na kuchakatika?Hata afanye nini bila kuchakatwa ni hopeless
Unamupromote mtu ambaye hajielewi unajizalilisha mwenyeweWewe ushachakatwa na kuchakatika?
Aliemtetea Lissu mahakamani hajielewi? Kwako ili mtu ajielewe awe vipi?Unamupromote mtu ambaye hajielewi unajizalilisha mwenyewe
Fatma Karume ni double agent kwa sasa haaminiki kwa sasaAliemtetea Lissu mahakamani hajielewi? Kwako ili mtu ajielewe awe vipi?
Kakaa kimya baada ya kurudi hijja, kaamua amtumikie Muumba wake, atafute akhera yake, aachane na kuwatumikia binadam ambao hawana shukran Kama weweUsituletee ujinga wako humu, Ccm Baada ya kumlisha na kushiba ndio kakaa kimya.
Kaamua kuwa agent wa Mola wakeFatma Karume ni double agent kwa sasa haaminiki kwa sasa
Hayaee mkuuKaamua kuwa agent wa Mola wake
Shukrani kwa kipi? Kuua watu kwenye uchaguzi au kipiKakaa kimya baada ya kurudi hijja, kaamua amtumikie Muumba wake, atafute akhera yake, aachane na kuwatumikia binadam ambao hawana shukran Kama wewe
Fatma karume kama mtu? Umerogwa?Shukrani kwa kipi? Kuua watu kwenye uchaguzi au kipi
Dini zinawapumbaza vibaya sana. Sijasema dini mbayaKakaa kimya baada ya kurudi hijja, kaamua amtumikie Muumba wake, atafute akhera yake, aachane na kuwatumikia binadam ambao hawana shukran Kama wewe
nguo za tamaduni za kiarabu ndio za heshima? ila za kisukuma sio za heshimaHongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya akhera hatayaleta faida.
Hongera hongera mwanasheria kwa kuamini dunia sio chochote
Quran inasema
“Hakika Allah huwapenda wanaotubu na huwapenda wanaojitakasa.”
(Qur’an 2:222)
Umesoma lkn hukuelimikanguo za tamaduni za kiarabu ndio za heshima? ila za kisukuma sio za heshima
Kama umefuatilia yule dada alivyokuwa anapigwa cross examination alikuwa anaingia kingi mzima mzima . Sasa katuga akipata watu wa ku prove kesi yake maswali yake yatakuwa ni mterko zaidi ya leading questiosUmesoma lkn hukuelimika
Ametubu nini ?Hongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya akhera hatayaleta faida.
Hongera hongera mwanasheria kwa kuamini dunia sio chochote
Quran inasema
“Hakika Allah huwapenda wanaotubu na huwapenda wanaojitakasa.”
(Qur’an 2:222)