chaka wa chaka
Member
- Jul 6, 2014
- 9
- 1
pamoja na kuahirishwa kutokana na kifo cha ngombea lkn kwa ngazi ya bavicha uchaguzi ulikamilika kabla ya habr ya kifo na kamanda tishio Maghembe kuwa m/kit mpya Wa bavicha muheza.
camanda huyu amejitoa sana ktk ujenzi Wa chama na leo hii ukizungumzia chadema muheza basi jina la riziki Maghembe linafuata nyuma.hongera kamanda endeleza mapambano mpka kieleweke