Hongera rais Magufuli na serikali yako. Sasa viwanda kila kona, wavivu ndio wamekalia kukuponda!

Kazi iliyobaki ni TRA kupitia kila nyumba kukusanya kodi ya viwanda maana tuna viwanda kila kona ya nchi
 
Tuache unafiki uwezi kujenga kiwanda kwa mwaka mmoja kwanini Watanzania tunakuwa wanafiki hivi jmn
 
Kiwanda ni nini? Ni sehemu yeyote inayozalisha kwa mashine.
Mashine ni mini? Ni kitu chochote chenye kani, egemeo na gurudumu. Sayansi std 5
Duuuuuh kweli watz tuna safari ndefu kutoboa,kwahiyo hata jembe la mkono ni kiwanda,mwenye saluni ni kiwanda,mwenye daladala ni kiwanda,mwenye baiskeli kiwanda,bodaboda ni kiwanda.......kwa mujibu wa wako wa machine ndio kiwanda:
Machine:anything that simplifies work.
 
Mbuyu ulianza kama mchicha, kiwanda kidogo huzaa kikubwa, huwezi kurukia hatua katika maendeleo yoyote. Kama hatuwezi kuthamini viwanda vidogo hata vikubwa pia hatuwezi zaidi. "If you can not manage a small industry, how can you manage a big one?"
Vijana wenzangu tujitume kuanzisha viwanda Vidogovidogo mwisho wake utakua mzuri tuu.
 
Mleta uzi acha kuisanifu serekali, kama hivyo unavyovitaja ndio viwanda mbona nchi hii ni ya viwanda siku nyingi!!
Taarifa ya mwijage inaonyesha kwamba hata wale wanaofunga yale maji ya kunywa kwenye mifuko ya ice cream wamo kwenye kundi la wamiliki viwanda .
 
Back
Top Bottom