Elimu ya hapa na pale
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 846
- 825
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana Mungu
Nimeamua kumpongeza Raisi kwa kazi nzuri alio ifanya huko mkoani Simiyu.
Nampongeza kwa kupunguza garama kubwa ya ujenzi na kuweka ya kawaida.
Kwani siku nyingi bei elekezi za serikari zilikuwa kubwa kumbe kiasi kingi cha fedha zilikuwa zinaliwa bureee. Walikuwa wanazila kwa kupanga bei kubwa na kumbe sivyo itakavyokuwaa.
Mfano kwenye bill of guantity (BOQ) bei za manunuzi na utenda kazi:
Eti mfuko mmoja unauzwa 15,000 wao utakuta wanaandika elfu 25,000, bei ya kibarua kwa siku wanaandika bei kubwa kumbe vibarua hawapewi kiasi kile.
Na maombi yetu siku zote ilikuwa ni serikari kupunguza garama zisizokuwa za lazimaa.
Hata hizo bilioni 10 zikitumika vizuri mbona hata chenji itabaki tuuu.
Kwa hili nakupongeza saana Raisi wangu Magufuli kwa kazi nzuri Mungu Akubariki Amina.