Wachina wazuri walikuwa wakati ule wa Mao na Nyerere. Wakati huo hali zetu za uchumi zilikuwa zinafanana kwa kiwango kikubwa. Hawa Wachina wa Leo ni Bora Wazungu wa Leo kwa Sababu wazungu wana angalau Roho ya kumwogopa Mungu.
Wachina wa Leo hawana tofauti yoyote na wanyang'anyi. Tena hawana aibu wala huruma.Wangeruhusiwa kuchukua hiyo bandari ya Bagamoyo pamoja na maeneo ya jirani mpaka Tanga, tafsiri yake ni kwamba mmeamua kuuza Robo ya nchi yetu. Wakafie mbele na uroho wao. Wanafikiri sisi ni vilaza Kama viongozi wa Zambia ambao wakishapewa Mvinyo wa kichina na changu wa kichina wao kila kitu ni ndiyo, matokeo tutayaona soon.
Kiongozi yeyote wa Africa wa Leo anayeamini kwamba Mchina wa Leo ni Rafiki mzuri, huyo atakuwa hajitambui au atakuwa na maslahi yake binafsi.
Mifano ipo mingi sana, ila hapa natoa michache tu mingine mtajiongeza wenyewe.
1 Tangu Mzungu ametoa Mguu Zimbabwe na Mugabe akawakaribisha Wachina kwa mbwembwe, je ni nini kimefanikiwa Leo Zimbabwe?. Jibu ni. wazimbabwe wamezidi kuwa masikini na hata kile kidogo walichokua nacho Mchina kakichukua chote. Sasa Zimbabwe ni Omba omba namba moja Africa.
2. Sudani kusini, Marehemu Dr John Garang baada ya Marekani kuwasaidia ktk ile vita Yao na Sudan ya Bashir hatimaye Sudan kusini ilifanikiwa kujitawala Kama Nchi huru. Kosa kubwa alilolifanya Dr John Garang , ni kitendo cha kuwapa yale mafuta yote Wachina.Leo ni mwaka wa 6 Sudani kusini ni vita vya wenyewe kwa wenyewe inakadiriwa takribani watu laki 3 wamesha uwawa mpaka sasa. Mchina yeye hana habari wala hajawahi kusaidia Mazungumzo ya aina yoyote ya Amani. Yeye ananyonya tu. Ni Kama kupe. Hadi ufe, akikosa damu fresh ndiyo anaondoka.
Mifano ya ushenzi wa Wachina wa Leo ni mingi sana. Kuwaamini ni makosa makubwa sana. Hawa wa Leo ni wabaguzi kuliko Wazungu na Wahindi. Wana tamaa kubwa iliyopitiliza ya kupata pesa toka Africa. Wana mtandao wao wa Qq ambao unawaunganisha dunia nzima. Wanakaba kila fursa kwa sababu wanapeana information haraka sana.
Hongera sana Raisi na Mawaziri mliostukia utapeli wa hawa Wahuni. Siku tukihitaji kujenga Bandari ya Bagamoyo sisi wenyewe tunaweza kufanya Harambee kwa mapenzi mema kwa ajili ya maendeleo yetu na tukafanikiwa
Majizi chadema yanataka tuuze nchi
Sijawahi na sitarajii kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.mimi ni mtu huru na napenda sana kuwa huru. Penye ukweli huwa nasimama bila unafikiRais wa CCM hajawahi kosa watetezi au wasifiaji kwa lolote afanyalo ndani ya CCM! Hata enzi za ubinafsishaji pambio za sifa zilikua nyingi lkn leo wale wale waliokua wakisifu leo ndo wamekua wapondaji.
Ujinga wake nini?Uzi wa kijinga sana sana!
Ni kweli,kama tumeweza kujenga Reli kwa pesa zetu wenyewe tutashindwa nini kujenga hiyo bandari...!Wachina wazuri walikuwa wakati ule wa Mao na Nyerere. Wakati huo hali zetu za uchumi zilikuwa zinafanana kwa kiwango kikubwa. Hawa Wachina wa Leo ni Bora Wazungu wa Leo kwa Sababu wazungu wana angalau Roho ya kumwogopa Mungu.
Wachina wa Leo hawana tofauti yoyote na wanyang'anyi. Tena hawana aibu wala huruma.Wangeruhusiwa kuchukua hiyo bandari ya Bagamoyo pamoja na maeneo ya jirani mpaka Tanga, tafsiri yake ni kwamba mmeamua kuuza Robo ya nchi yetu. Wakafie mbele na uroho wao. Wanafikiri sisi ni vilaza Kama viongozi wa Zambia ambao wakishapewa Mvinyo wa kichina na changu wa kichina wao kila kitu ni ndiyo, matokeo tutayaona soon.
Kiongozi yeyote wa Africa wa Leo anayeamini kwamba Mchina wa Leo ni Rafiki mzuri, huyo atakuwa hajitambui au atakuwa na maslahi yake binafsi.
Mifano ipo mingi sana, ila hapa natoa michache tu mingine mtajiongeza wenyewe.
1 Tangu Mzungu ametoa Mguu Zimbabwe na Mugabe akawakaribisha Wachina kwa mbwembwe, je ni nini kimefanikiwa Leo Zimbabwe?. Jibu ni. wazimbabwe wamezidi kuwa masikini na hata kile kidogo walichokua nacho Mchina kakichukua chote. Sasa Zimbabwe ni Omba omba namba moja Africa.
2. Sudani kusini, Marehemu Dr John Garang baada ya Marekani kuwasaidia ktk ile vita Yao na Sudan ya Bashir hatimaye Sudan kusini ilifanikiwa kujitawala Kama Nchi huru. Kosa kubwa alilolifanya Dr John Garang , ni kitendo cha kuwapa yale mafuta yote Wachina.Leo ni mwaka wa 6 Sudani kusini ni vita vya wenyewe kwa wenyewe inakadiriwa takribani watu laki 3 wamesha uwawa mpaka sasa. Mchina yeye hana habari wala hajawahi kusaidia Mazungumzo ya aina yoyote ya Amani. Yeye ananyonya tu. Ni Kama kupe. Hadi ufe, akikosa damu fresh ndiyo anaondoka.
Mifano ya ushenzi wa Wachina wa Leo ni mingi sana. Kuwaamini ni makosa makubwa sana. Hawa wa Leo ni wabaguzi kuliko Wazungu na Wahindi. Wana tamaa kubwa iliyopitiliza ya kupata pesa toka Africa. Wana mtandao wao wa Qq ambao unawaunganisha dunia nzima. Wanakaba kila fursa kwa sababu wanapeana information haraka sana.
Hongera sana Raisi na Mawaziri mliostukia utapeli wa hawa Wahuni. Siku tukihitaji kujenga Bandari ya Bagamoyo sisi wenyewe tunaweza kufanya Harambee kwa mapenzi mema kwa ajili ya maendeleo yetu na tukafanikiwa
inategemea na anayesoma uzi huu yeye ni nini!Uzi wa kijinga sana sana!
hongera baada ya kukomehsa wachagga wa kimara , wahaya na sasa umekuja kwa mkwere,Wachina wazuri walikuwa wakati ule wa Mao na Nyerere. Wakati huo hali zetu za uchumi zilikuwa zinafanana kwa kiwango kikubwa. Hawa Wachina wa Leo ni Bora Wazungu wa Leo kwa Sababu wazungu wana angalau Roho ya kumwogopa Mungu.
Wachina wa Leo hawana tofauti yoyote na wanyang'anyi. Tena hawana aibu wala huruma.Wangeruhusiwa kuchukua hiyo bandari ya Bagamoyo pamoja na maeneo ya jirani mpaka Tanga, tafsiri yake ni kwamba mmeamua kuuza Robo ya nchi yetu. Wakafie mbele na uroho wao. Wanafikiri sisi ni vilaza Kama viongozi wa Zambia ambao wakishapewa Mvinyo wa kichina na changu wa kichina wao kila kitu ni ndiyo, matokeo tutayaona soon.
Kiongozi yeyote wa Africa wa Leo anayeamini kwamba Mchina wa Leo ni Rafiki mzuri, huyo atakuwa hajitambui au atakuwa na maslahi yake binafsi.
Mifano ipo mingi sana, ila hapa natoa michache tu mingine mtajiongeza wenyewe.
1 Tangu Mzungu ametoa Mguu Zimbabwe na Mugabe akawakaribisha Wachina kwa mbwembwe, je ni nini kimefanikiwa Leo Zimbabwe?. Jibu ni. wazimbabwe wamezidi kuwa masikini na hata kile kidogo walichokua nacho Mchina kakichukua chote. Sasa Zimbabwe ni Omba omba namba moja Africa.
2. Sudani kusini, Marehemu Dr John Garang baada ya Marekani kuwasaidia ktk ile vita Yao na Sudan ya Bashir hatimaye Sudan kusini ilifanikiwa kujitawala Kama Nchi huru. Kosa kubwa alilolifanya Dr John Garang , ni kitendo cha kuwapa yale mafuta yote Wachina.Leo ni mwaka wa 6 Sudani kusini ni vita vya wenyewe kwa wenyewe inakadiriwa takribani watu laki 3 wamesha uwawa mpaka sasa. Mchina yeye hana habari wala hajawahi kusaidia Mazungumzo ya aina yoyote ya Amani. Yeye ananyonya tu. Ni Kama kupe. Hadi ufe, akikosa damu fresh ndiyo anaondoka.
Mifano ya ushenzi wa Wachina wa Leo ni mingi sana. Kuwaamini ni makosa makubwa sana. Hawa wa Leo ni wabaguzi kuliko Wazungu na Wahindi. Wana tamaa kubwa iliyopitiliza ya kupata pesa toka Africa. Wana mtandao wao wa Qq ambao unawaunganisha dunia nzima. Wanakaba kila fursa kwa sababu wanapeana information haraka sana.
Hongera sana Raisi na Mawaziri mliostukia utapeli wa hawa Wahuni. Siku tukihitaji kujenga Bandari ya Bagamoyo sisi wenyewe tunaweza kufanya Harambee kwa mapenzi mema kwa ajili ya maendeleo yetu na tukafanikiwa
Kifupi Mimi sikubaliani na Zito kabisa,Majizi chadema yanataka tuuze nchi
Ili yapate hoja ya kusemea.Majizi chadema yanataka tuuze nchi
Lete uthibitishoMajizi chadema yanataka tuuze nchi
Uzi wa kijinga sijawahi kuona, yaani umeandika kishabiki shabiki bila kutafakari.Wachina wazuri walikuwa wakati ule wa Mao na Nyerere. Wakati huo hali zetu za uchumi zilikuwa zinafanana kwa kiwango kikubwa. Hawa Wachina wa Leo ni Bora Wazungu wa Leo kwa Sababu wazungu wana angalau Roho ya kumwogopa Mungu.
Wachina wa Leo hawana tofauti yoyote na wanyang'anyi. Tena hawana aibu wala huruma.Wangeruhusiwa kuchukua hiyo bandari ya Bagamoyo pamoja na maeneo ya jirani mpaka Tanga, tafsiri yake ni kwamba mmeamua kuuza Robo ya nchi yetu. Wakafie mbele na uroho wao. Wanafikiri sisi ni vilaza Kama viongozi wa Zambia ambao wakishapewa Mvinyo wa kichina na changu wa kichina wao kila kitu ni ndiyo, matokeo tutayaona soon.
Kiongozi yeyote wa Africa wa Leo anayeamini kwamba Mchina wa Leo ni Rafiki mzuri, huyo atakuwa hajitambui au atakuwa na maslahi yake binafsi.
Mifano ipo mingi sana, ila hapa natoa michache tu mingine mtajiongeza wenyewe.
1 Tangu Mzungu ametoa Mguu Zimbabwe na Mugabe akawakaribisha Wachina kwa mbwembwe, je ni nini kimefanikiwa Leo Zimbabwe?. Jibu ni. wazimbabwe wamezidi kuwa masikini na hata kile kidogo walichokua nacho Mchina kakichukua chote. Sasa Zimbabwe ni Omba omba namba moja Africa.
2. Sudani kusini, Marehemu Dr John Garang baada ya Marekani kuwasaidia ktk ile vita Yao na Sudan ya Bashir hatimaye Sudan kusini ilifanikiwa kujitawala Kama Nchi huru. Kosa kubwa alilolifanya Dr John Garang , ni kitendo cha kuwapa yale mafuta yote Wachina.Leo ni mwaka wa 6 Sudani kusini ni vita vya wenyewe kwa wenyewe inakadiriwa takribani watu laki 3 wamesha uwawa mpaka sasa. Mchina yeye hana habari wala hajawahi kusaidia Mazungumzo ya aina yoyote ya Amani. Yeye ananyonya tu. Ni Kama kupe. Hadi ufe, akikosa damu fresh ndiyo anaondoka.
Mifano ya ushenzi wa Wachina wa Leo ni mingi sana. Kuwaamini ni makosa makubwa sana. Hawa wa Leo ni wabaguzi kuliko Wazungu na Wahindi. Wana tamaa kubwa iliyopitiliza ya kupata pesa toka Africa. Wana mtandao wao wa Qq ambao unawaunganisha dunia nzima. Wanakaba kila fursa kwa sababu wanapeana information haraka sana.
Hongera sana Raisi na Mawaziri mliostukia utapeli wa hawa Wahuni. Siku tukihitaji kujenga Bandari ya Bagamoyo sisi wenyewe tunaweza kufanya Harambee kwa mapenzi mema kwa ajili ya maendeleo yetu na tukafanikiwa
Leta ushahidi hapa kama hiyo reli inajengwa kwa pesa zenu wenyewe...Ni kweli,kama tumeweza kujenga Reli kwa pesa zetu wenyewe tutashindwa nini kujenga hiyo bandari...!
mbona hili swala, lilipingwa sana na wapinzani mkuu,Majizi chadema yanataka tuuze nchi