Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
-Wakuu,naomba kuitumia nafasi hii kuwapongeza Radio Maria Tanzania kwa utaratibu wao wa kurusha matangazo ya moja kwa moja kupitia mtandao(Internet)..Binafsi wamekuwa wakinifanaya nijihisi niko nyumbani Tanzania,kwani pamoja na kuniburudisha pia nimekuwa nikipata taarifa mbalimbali za yale yanayoendelea nyumbani Tanzania(kupitia haya matangazo yao ya moja kwa moja)..Hongereni sana Radio Maria Tanzania kwa kazi hii nzuri.
-Ni vizuri pia Radio nyingine zilizopo Tanzania kama TBC,STZ,RFA,Radio One,Clouds FM,KISS FM na nyingine nyingi zikaanza utaratibu huu wa kurusha matangazo kwa njia ya mtandao kama ilivyo kwa Radio Maria Tanzania ili watusaidie sisi tulio nje ya Tanzania kujua kile kinachoendelea nchini kwetu(japo mengi tunayapata kupitia Jukwaa hili tamu-JF) ikiwa ni pamoja na kupata burudani safi ya Muziki.
-Hongereni sana Radio Maria..Waweza kuisikiliza Radio Maria Tanzania kwa kugonga link hii hapa chini:-
http://www.dullonet.com/maria.php