bado ana kazi ndefu: nyamwasa, kikwete, kabila, ingabire, ....+ wahutu wooooooooooooooooote!
the bad thing is Mamadou na karegeya si wahutu. Huenda kwenye orodha yake hata Yakobo Zuma yumo.......
kilo uniform mike alpha........
bado ana kazi ndefu: nyamwasa, kikwete, kabila, ingabire, ....+ wahutu wooooooooooooooooote!
NAMPONGEZA kwa kuganikiwa kuwanyonga maadui zake wakubwa wawili kwa mpigo, amefanikiwa kumuua col Mamadou Ndala na Col Karegeya kwa siku moja. ni mafanikio makubwa mno. hongera umeuanza mwaka lwa mafanikio....