hongera nduguzangu wa tanzania.ngoma ndio hio.

mixx

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,293
8,048
.gh.jpg
.jpg
inde.jpg
 
Hahahaaa hiyo helicopter habari ya kizushi. Imepaa lakini panga halizunguki....hahahaaa. Hii inatakiwa apewe waziri wa kilimo asipate shida kuwafikia wakulima in remote areas.
 
Hahahaaa hiyo helicopter habari ya kizushi. Imepaa lakini panga halizunguki....hahahaaa. Hii inatakiwa apewe waziri wa kilimo asipate shida kuwafikia wakulima in remote areas.
Sasa kama panga halizunguki imewezaje kupaa?
 
Tunakimbilia kuvaa suti hata nepi bado, tungeanza hatua ya chini kutengeneza gari pikipiki n k kwa level ya choppers hukko bado xan
 
Hilo hapo panga likiwa linazunguka

Dogo Papushikashi elewa. hiyo chopa haijawahi kupaa. kutuwekea clip panga linazunguka sio huko/
tazama picha ya chopa iliyolo juu ya nyumba kuna kivulicha bawa kilitakiwa kisiwepo yaani kizunguke.
muhimu kabisa km sio photoshop ngazi ya upande wa kulia kipande cha mbele kimeanguka? mbona hakipo, kwa ngazi ya kushoto kuna sehemu imejaziwa rangi na bado kupauka ikionesha mistari miyeusi ya kukata au kivuli ambacho si cha angani
halafu juu ya mabati kuna umbali gani hata kivuli au vumbi la Helikopta lisionekane?

inde-jpg.363538
 
Ama kweli, hehehe!! Haya bana, endeleeni kuwakilisha Afrika, japo kwenye video jamaa wanazomeana..."wewe toka huko!!"
Siku ikija kupaa mfanyie majaribio mbugani na sio kitaa juu ya nyumba za watu maana naona hatari...
 
Usije kupotoka iliyo zingumzwa ipo arusha na bado kufanyia test na sio hiyo ya fundi garage aliye amua kutengeneza toy lake
 
Hahahaaa hiyo helicopter habari ya kizushi. Imepaa lakini panga halizunguki....hahahaaa. Hii inatakiwa apewe waziri wa kilimo asipate shida kuwafikia wakulima in remote areas.
Hivi Panga Huwa Linazunguka Kwenye Still Picha
 
Back
Top Bottom