Hongera Nchemba kwa kumsamehe Mnyika

Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za CCM zinazohimiza kusamehemeana miongoni mwa wananachi pasipo kujali itikadi za siasa wala dini.

Mh. Mmnyika yeye analizungumziaje suala hili la kusamehewa?
 
Tumeshawazoea kuweka mpira kwapani kabla ya mechi....Hata ushahidi wa Lema Mh Spika alikubali yaishe!!
 
leo asbuhi nchemba aliomba muongozo kujua swala hilo limefika wapi...ushahidi upo
 
Lema aliwahi kusema kuwa Pinda ni mwongo, akaambiwa akathibitishe kwa maandishi kuwa ni kweli PM ni mwongo. Mpaka leo hakuna majibu kutoka spika. Unamaanisha PM alimsamehe Lema?
 
kweli CDM wana kaba mpaka penati nchemba kaona anapigwa bao na tena nikwasababu alikumbushia jana yake ndo akaona aombe msamaha haraka

Inaonyesha kua mnyika alikua na ushahidi wakutosha ndomaana akaona itakua noma ngoja nimsamehe ili usisomwe
kweli siasa nimchezo mchafu
 
SCHIZOPHRENIA = "Mental disorder in which a person becomes unable to act or think in a rational way, often with delusions and withdrawal from social relationships"
 
Hebu fafanueni vizuri hii kauli ya Nchemba, maana mimi naangalia bunge sijui hii habari mmeipata saa ngapi!!
 
Kwani mnyika alimwomba msamaha? au ndo wamemalizani mtaani. Usikute anakwepa ili Mnyika atakapowekewa sumu akwepe kesi au atakapokuja na ule mwavuli Mnyika asishtuke. Uwe mwangalifu Mnyika usijisahau ukafikiri umepata rafiki.
 
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za CCM zinazohimiza kusamehemeana miongoni mwa wananachi pasipo kujali itikadi za siasa wala dini.
Anasamehe kabla ya kuombwa Msamaha ameona vielelezo vilivyo komaa akaona bora atangaze kusamehe kabla moto haujawaka
 
Mwigulu ana mcheche wa nini? mbona anaanza kujitetea wakati hajaambiwa afanye hivo? yeye ametuhumiwa, spika kamuagiza mnyika apeleke ushahidi sasa yeye atulie ushahidi upitiwe kama atahitajika kujitetea ataitwa kama hahitajiki akae kimya! Wizi unamuwasha huyu bwana! na mnyika alisahau kuunganisha na ile kashfa ya Igunga!
 
Huku kwetu mwanza hakuna umeme toka juzi anayejua atujuze achaneni na bunge hili halijulikani linafanya nini hatujawatuma kwenda kujadili mambo yao badala ya kwetu
 
mnyika awe amechemka au awe amethibitisha hilo ni pigo kwa spika na naibu spika kwa sababu watatoka pangoni kwa sababu iwe iwavyo hapa ni lazima mtoto aseme baba ameniambia niwaambie hayupo.
lazima na ya lema na zito iwekwe hadharani.
 
Mpeni haki yake kwa kumpa BIG UP Mheshimiwa Mchemba kaonyesha uungwana uliotukuka. Mnyika hakuwa na ushahidi hivyo angeishia pabaya kwa vile alikurupuka. Nyie wana CDM muweke ushabiki pembeni na kukiri Mnyika aliteleza kwa kutoa kauli ambayo haikuwa na uhalisia

Mbona na wewe maelezo yako ni kama unashabikia CCM au ndo yale yale ya wengine kuwa na haki zaidi?
 
Leo ndio nimethibitisha kwamba Nchemba si mzima, kama jana alimsamehe iweje leo arudishe swala hilohilo Bungeni. Nawashangaa hata wanao mrespect kichaa kama huyo. Nyambafu kabisa inaelekea haiwezi kutumia elimu yake vizuri.
 
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za CCM zinazohimiza kusamehemeana miongoni mwa wananachi pasipo kujali itikadi za siasa wala dini.
Mchemba hajamsamehe Mnyika,pale kilichofanyika ni CCM kwa vile hawataki suala la EPA liendelee wamemuomba Mchemba asiendelee kusudi kunusulu chama kisiaibike.Mnyika anao ushahidi wa kutosha kiasi cha kwamba wakiusoma
mengi yataibuka na mtego huo ccm wameuona na kuukwepa.
 
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za CCM zinazohimiza kusamehemeana miongoni mwa wananachi pasipo kujali itikadi za siasa wala dini.
Sema sera yenu ya kubip mkipigiwa mnazima simu!.
 
Mheshimiwa Mwigulu Mchemba umeonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuamua kutoa msamaha kwa Mheshimiwa Mnyika kutoka na kauli yake aliyoitoa Bungeni. Hilo ni jambo jema kwani unatimiza sera madhubuti za CCM zinazohimiza kusamehemeana miongoni mwa wananachi pasipo kujali itikadi za siasa wala dini.

Kamsamehe wapi wakati ametoka kuomba mwongozo muda c mrefu?? na Naibu Spika kasema swala hilo analipeleka katika Kamati ya Maadili.
Namkubali sana Mnyika lakini Kwa hili tukubali kuwa Mnyika alichemka kumtuhumu Nchemba personally labda kama ulimi uliteleza kuwa alilenga kukituhumu chama (ccm).
Viongozi wetu wawe makini ktk kauli zao!!
 
Back
Top Bottom