TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 762
Kimsingi NAPENDA kuwapongeza Kwa dhati niliowataja Na wengine Kwa Kazi Yao nzuri ya Kumjenga, Kumnoa Na Kumuimarisha Rais wetu 2015 Dr. Slaa..
Wataalam Wa kiuongozi Imara wanasema unahitaji wanaokusuport ili ujongee Mbele lakini Kama ukitaka kusonga Mbele ZAIDI unahitaji wanaokupinga.. Na wanaokupinga wakitokea Ndani Na ukawamudu lazima uwe kiongozi bora zaidi.
Inshu sio kupingwa inshu ni utavyotenda wakati Wa shambulio.. Ikumbukwe wakati wa kampeni 2010, kiliibuliwa 'kitu' Na Kama sio Dr Slaa kucheza staa ya nguvu alikuwa aondoke kwenye game, wewe kuambiwa unabaka Mke Wa mtu was not a joke at all , lakini ukapeta Na kupata support zaidi..!! Kweli naamini aliyechaguliwa Na Mungu kachaguliwa tu Hata mpige makelele kwanza Ndo kumuimarisha zaidi..
2015 iko karibu, watanzania Tunahitaji Rais Makini, this majanga embu yakuimarishe zaidi, viongozi wengi wakishindwa kumudu changamoto Za Ndani hugeuka kuwa madikteta, Kaka Mrema majungu yalimshinda akaiporomosha NCCR, CUF majungu yaliwalipulia mbali, CCM ni wapishi wazuri sana Wa HII kitu majungu, Na Ukiyamudu you wil be the best president Ever.. Goodluck Dr. Slaa