HONGERA Nape, Hongera BAVICHA Mwanza...

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Kimsingi NAPENDA kuwapongeza Kwa dhati niliowataja Na wengine Kwa Kazi Yao nzuri ya Kumjenga, Kumnoa Na Kumuimarisha Rais wetu 2015 Dr. Slaa..

Wataalam Wa kiuongozi Imara wanasema unahitaji wanaokusuport ili ujongee Mbele lakini Kama ukitaka kusonga Mbele ZAIDI unahitaji wanaokupinga.. Na wanaokupinga wakitokea Ndani Na ukawamudu lazima uwe kiongozi bora zaidi.

Inshu sio kupingwa inshu ni utavyotenda wakati Wa shambulio.. Ikumbukwe wakati wa kampeni 2010, kiliibuliwa 'kitu' Na Kama sio Dr Slaa kucheza staa ya nguvu alikuwa aondoke kwenye game, wewe kuambiwa unabaka Mke Wa mtu was not a joke at all , lakini ukapeta Na kupata support zaidi..!! Kweli naamini aliyechaguliwa Na Mungu kachaguliwa tu Hata mpige makelele kwanza Ndo kumuimarisha zaidi..

2015 iko karibu, watanzania Tunahitaji Rais Makini, this majanga embu yakuimarishe zaidi, viongozi wengi wakishindwa kumudu changamoto Za Ndani hugeuka kuwa madikteta, Kaka Mrema majungu yalimshinda akaiporomosha NCCR, CUF majungu yaliwalipulia mbali, CCM ni wapishi wazuri sana Wa HII kitu majungu, Na Ukiyamudu you wil be the best president Ever.. Goodluck Dr. Slaa
 
badilika ndugu yangu. mtu akikosea lazima aelezwe. slaa kuwa na kadi ya ccm ni jambo ambalo halieelweki na linatuchanganya hadi leo hii. acheni siasa za kishabiki
 
Hata Mzee Mtei amesema anayo kadi ya TANU na kadi ya CCM, ameziweka kama alivyoweka vitu vingine kama ukumbusho. Amesema ni kadi yake, mali yake, aliinuua, hakupewa bure, anaweza kuichana, kuitupa,kuiuza au hata kuichoma moto wakati wowote akitaka.

Hata marehemu Mwalimu Nyerere ana kadi, bado ipo. Basi nae ni mwanachama hai wa CCM kwa maana ya kumiliki kadi.
 
uko sahihi kabisa mkuu, wa2 wanalitambua vyema hlo sema tu mawazo mgando na ushabiki wa kinafiki! Kwan kadi ki2 gani bhana au kwa sababu Dr. Anawanyima ucngzi?
 
Kadi sio ishu mie nasema Slaa bado tunamkubali sana! yani sijui mjipange vp kwa hili! kimeshanuka hatudanganyiki S.s.m ok~
 
Halieleweki kwa aliyejandaa kutokuelwa kwa mwenye nia ya kuelewa jambo hili linaeleweka kirahisi kabisa. Una kadi ya CCM ndiyo, unaifanyia nini CCM? Kama una kadi ya CCM halafu unaifanyia mabaya, wenye chama si watakufukuza? Kuwa na kadi peke yake hakutoshi lazima kufuatiwe na matendo yako mema kwa chama chako. Wewe kama unaishi Tanzania je; Dr.Slaa amekuwa akiifanyia mema CCM au CHADEMA? Jibu unalo, labda kama mizani yako ya kupimia ni mibovu inainuka kwenye uzito na kubonyea kwepesi hapo somo litakuwa halieleweki.
Kama sera ya CCM ni rushwa na ufisadi, Dr. Slaa anaipinga kwa nini wasimfukuze? Maana chama ni itikadi sio kadi. Kadi ni karatas wakati itikadi ni kile mtu anachokiamini ndani ya moyo wake. Mtu anaweza asiwe na kadi lakini akajulikana anachokiamini ni itikadi ya chama gani. vILEVILE Mtu anaweza kuwa kadi ishirini lakini hawezi kuwa na itikadi zaidi ya moja zinzopingana.
badilika ndugu yangu. mtu akikosea lazima aelezwe. slaa kuwa na kadi ya ccm ni jambo ambalo halieelweki na linatuchanganya hadi leo hii. acheni siasa za kishabiki
 
Kimsingi NAPENDA kuwapongeza Kwa dhati niliowataja Na wengine Kwa Kazi Yao nzuri ya Kumjenga, Kumnoa Na Kumuimarisha Rais wetu 2015 Dr. Slaa..

Wataalam Wa kiuongozi Imara wanasema unahitaji wanaokusuport ili ujongee Mbele lakini Kama ukitaka kusonga Mbele ZAIDI unahitaji wanaokupinga.. Na wanaokupinga wakitokea Ndani Na ukawamudu lazima uwe kiongozi bora zaidi.

Inshu sio kupingwa inshu ni utavyotenda wakati Wa shambulio.. Ikumbukwe wakati wa kampeni 2010, kiliibuliwa 'kitu' Na Kama sio Dr Slaa kucheza staa ya nguvu alikuwa aondoke kwenye game, wewe kuambiwa unabaka Mke Wa mtu was not a joke at all , lakini ukapeta Na kupata support zaidi..!! Kweli naamini aliyechaguliwa Na Mungu kachaguliwa tu Hata mpige makelele kwanza Ndo kumuimarisha zaidi..

2015 iko karibu, watanzania Tunahitaji Rais Makini, this majanga embu yakuimarishe zaidi, viongozi wengi wakishindwa kumudu changamoto Za Ndani hugeuka kuwa madikteta, Kaka Mrema majungu yalimshinda akaiporomosha NCCR, CUF majungu yaliwalipulia mbali, CCM ni wapishi wazuri sana Wa HII kitu majungu, Na Ukiyamudu you wil be the best president Ever.. Goodluck Dr. Slaa

zitto ndiye rais wetu 2015.
Slaa akiwa rais nchii hii mimi na wana mwanza mwenzangu tunahamia malawi.
 
Wewe kweli ni wakuchanganywa na upuuzi? Sibure umechanga nyikiwa kabisa na ukamuone daktari!

badilika ndugu yangu. mtu akikosea lazima aelezwe. slaa kuwa na kadi ya ccm ni jambo ambalo halieelweki na linatuchanganya hadi leo hii. acheni siasa za kishabiki
 
badilika ndugu yangu. mtu akikosea lazima aelezwe. slaa kuwa na kadi ya ccm ni jambo ambalo halieelweki na linatuchanganya hadi leo hii. acheni siasa za kishabiki

jenga hoja kwa kurejea vifungu vya katiba za CCM na CDM ili kuipa mashiko hoja yako acha kuweka maadishi yasiyo na maana kwenye jukwaa hili. kadi ya chama " chama chochote ni sawa na kuwa na line ya simu" usipoitumia kwa muda uliowekwa na watoa hiyo huduma laini hiyo hufungiwa nakubaki kuwa ni kumbukumbu yako kuwa ulishawahi kumiliki kadi ya simu yenye namba fulani lakini kampuni haikutambui na wala haupo kwenye roaster yao. hivyo namba hiyo iliyoexpire hutengenezewa chip mpya na kuingizawa sokoni. na ukitaka kuhuisha mawasiliano kupitia huo mtandao huwezi kuhuisha namba hiyo bali utapewa chip nyingine yenye mamba nyingine. kadi isiyotambuliwa kikatiba na chama ni sawa na karatasi tu lisilo na maandishi. km huamin hebu jaribu ku access line ya simu yako uliyoacha kuitumia baada ya muda elekezi kama hutasikia ikipokelewa na mtu mwingine.
 
CCM wanatapatapa hawana pa kujishika...wamebaki kuweweseka tu.!
 
Swala limeeleweka ila ccm hawana hoja na mwishon wa siku cdm mkiendelea kujibizana na hoja uchwara mambo ya msingi tutaacha na kuwa kama chama cha majambazi

Back
Top Bottom