asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
English itakuwaje sasa?Atakuwa ni spika huku pia ila vikao vikigongana atamwachia naibu spika na wenyeviti wake kuongoza bunge... alikuwa anafanyiwa mchakato wa kuapishwa na kupata mafunzo kidogo ya uendeshaji wa bunge hilo.