pembankwetu
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 133
- 62
Napenda kuwapongeza viongozi hawa wawili kwa msimamo wao wa kuacha ushabiki na kutetea haki za binaadam na kukiri hadharani kutokubaliana na kile kilichofanywa na police dhidi ya Profesa Lipumba hapo jana
wanaotetea hili ni hawa book saba wa humu tu
Umehakiii acc we wee nilikusubiri kweli,anyway zamwakàmpya??kuniongelea post sijachangia nrakuridisha shule ya jf-rules tukumbushane anyway vijanà wanafwatilia soontatizo. Litaisha MKUU umeeme umekuwa ukichezachezasana sikunzimaJamani Pdidy kaingilia mitambo ya Jf nimejaribu ku-edit mara mbili nikidhani labda nimekosea kuandika lakini inaendelea kuandika ki-Pdidy Pdidy tu
Nini kinaendelea wadau??
BACK TANGANYIKA
Mwigulu anapevuka kisiasa, Hongera sana Mwigulu
Napenda kuwapongeza viongozi hawa wawili kwa msimamo wao wa kuacha ushabiki na kutetea haki za binaadam na kukiri hadharani kutokubaliana na kile kilichofanywa na police dhidi ya Profesa Lipumba hapo jana
Police Party pro CCMpolice nao sikuhizi wanasiasa
nakubaliana na wewe mwiguru si mnafiki. tatizo kuna watu hawajuwi umuhimu wa kuheshimu haki za binadamu,na isitoshe lipumba ni kiongozi wa juu wa CUF, ilitakiwa wamkamate kwa staha. na hata wanachama waliokamatwa na kupigwa hawakustahili kufanyiwa hivyo maana nguvu iliyo tumika ni kubwa sana na nawashauri police wasome alama za nyakati. ubabe ulio tumika zanzibar 2001 hauna nafasi tena miaka ya leo
Police brutality haileti taswira nzuri kwa mustakabali wa Taifa letu. Serikali inabidi iache ushabiki wa kisiasa na kusimamia ipasavyo Jeshi La Polisi kwani ni chombo kinanachotegemewa kutulinda na sio kuonea na kunyayasa raia. Pengine Kuna umuhimu kwa Sheria ya Usalama wa Raia sambamba na ya uundwaji wa Jeshi lenyewe vikafanyiwa marekebisho