Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,376
- 38,229
Akiba komesho Wallet sio ?hakuna kuzugwa 🤣
NDOA NI UJAMBAZI MAMBOLEO
Akiba komesho Wallet sio ?hakuna kuzugwa 🤣
NDOA NI UJAMBAZI MAMBOLEO
Achana na habari za kununua viumbeAkiba komesho Wallet sio ?
Nipo Nakisunga Off katosi road huku nakula Chibuku hizo Makange sijui Makenge mie siyawezi.Achana na habari za kununua viumbe
Njoo Fancy Food Hapa Tule makange
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Makenge mie siyawezi.
Na kuingia rahisi sanaa ila kutoka mtihani hasa ukishapata nae watoto unandokaje.BIG FACT kwa sisi wenye ndoa haya tunayajua
Sifa zipi mkuu tunaomba kujulishwa ili tuzisake hizo sifanjemaUkweli wapo wanawake wengi walio wife material. Shida wanatutaka sisi ambao tayari tuna wake . So tatizo ni wanaume kukosa sifa. Tafuteni sifa za kupendwa na wife material
Umenena vema, Hakuna aliekamilika cha muhimu ni kuchukuliana mapungufu yetuMuombe Mungu upate Mkewema.
NB:
Hakuna mkamilifu Duniani,kikubwa kujua mapungufu yamwenzio. Ikiwezekana yarekebishe taratibu maana kubadili tabia ya mtu sio jambo la mara moja linaitaji muda na uvumilivu.
Umewahi kuona wanawake wangapi wanachukulia mapungufu ya mwanaume hasa kipindi hichi ambacho hali ya maisha ni ngumu. Strict policy inaapply kotekote, make yourself better then we will move together. Hata mwanamke akiniona nina mapungufu ruksa kutembea. That slogan was way back aisee, ambapo utu na adabu uliamalaki kwenye jamii, sio sasa hivi.Umenena vema, Hakuna aliekamilika cha muhimu ni kuchukuliana mapungufu yetu