Hongera mwanaume uliyepata Wife material

Hongera mwanaume uliyepata Wife material

Muombe Mungu upate Mkewema.
NB:
Hakuna mkamilifu Duniani,kikubwa kujua mapungufu yamwenzio. Ikiwezekana yarekebishe taratibu maana kubadili tabia ya mtu sio jambo la mara moja linaitaji muda na uvumilivu.
 
Asante sana mkuu, to be honest Mungu alinisaidia sana kwenye hili la mke, maana hata sijui ningekua mgeni wa nani...😶
Mungu amuweke huyu mama aiseee....
 
Back
Top Bottom