G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,591
- 36,004
Naomba kwa dhati kabisa nimpongeze mwalimu wangu na rafiki yangu Dr. Musa Mgwatu, mwalimu asiye na makuu!
Kwakweli sikujua kama rais Magufuli angeweza kukufahamu kutokana na wewe kutokujihusisha kabisa na mambo ya wanasiasa! Ulijikita kufundisha na kuongoza kitengo chako cha PT pale CoET-UDSM!
Pengine nafasi yako hiyo pale CoET leo imekufanya ung'are mbele ya jamii! Uliitumia nafasi yako hiyo kuiboresha workshop ya TAZARA kwa kuwasukuma wanafunzi wengi wa CoET hasa mechanical engineering students pale TAZARA WORKSHOP kwenye mafunzo yao ya PT na hata ajira pia! Ulitusihi tuandae projects nyingi za TAZARA WORKSHOP na ukawa unachukua jukumu la kuziboresha.
Nakumbuka sana ulivyokuwa ukinitania "toz " kwakuwa nilikuwa napingana sana na idea yako ya kule TAZARA WORKSHOP na niliona kujishughulisha nayo ni kama kupoteza muda! Kwakweli hapa Magufuli ameteua mtendaji hasa! Siasa katupa kulee na hajatilia maanani swala la uchama kwani nakufahamu vyema umesimamia chama kipi! Hongera sana!
Pia kwa dhati kabisa nampongeza rais Magufuli kwa teuzi zote tatu maana kalenga haswa! Chama katupilia kule kajali utendaji zaidi!
Kwa dhati kabisa wakati Magufuli alipokuwa anakujakuja kule kitivoni tulikuwa tukiongea sana kuhusu swala la TAZARA WORKSHOP ingawa hatukuweza kukubali kuwa angekuja kuwa rais! Nadhani amelikumbuka sana hilo na ndo maana amefanya uteuzi huu!
Mwisho kabisa Naomba nikushukuru tena kwani nakumbuka nilipomaliza tu chuo ulinipa 'shavu' la maana sana na kunifanya niingie mtaani kwa hadhi ya aina yake!! Ubinadamu wako umekujenga daima!!