Hongera Mods kweli mnaona mbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Mods kweli mnaona mbali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quinine, Jan 14, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanajifanya smart wameanzisha mtindo wa kuja na Heading za ajabu ajabu lakini ukisoma ndani maudhui ni tofauti kabisa. Mfano
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/98612-tabia-ya-polisi-kupiga-raia-katika-maandamano-ya-amani-ni-kwa-maslahi-ya-nani.html

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/102689-pengo-sikutarajia-polisi-kuua-raia.html

  Mods mmekuwa macho kwa kuzifuta au kubadili heading au kuzipeleka kunakostahili, big up, ingawa najua hata thread hii itapelekwa kunako lakini message itakuwa imefika kwa wahusika.
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hoja haina mashiko hiyo
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  Message delivered
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hivi hakuna jukwaa la kupongezana?
   
Loading...