JF is back, wenzangu tufahamishane nini kilikuwepo wakati jf iko down.
binafsi hali ilikua ngumu, kuna moderator nilimpigia akaniuliza wewe unanikumbuka wakati wa matatizo tu, BujibujiBaba V na IGWE niliwakuta pale uyole. welcome back jf.
Mwanyasi nipe no. yako siku nyingine jf ikiroga niwe nakupigia cm kupitia kifurushi cha usiku pack tubonge we usiku kucha. maana hali ilikuwa mbaya bana sitaki initokee tena.