Hongera Mkuu TYTA....

Hongera Mkuu TYTA....

Mkuu Tyta mbona hukumpa mwanangu chenji jumapili ilopita?

ungeipokea???
pture.PNG
 
Hivi macho yangu hayaoni vizuri au vipi? Hivi neno "TAITA" lililo kwenye bango na "TYTA" jina la mwana JF ni kitu kile kile?

Mwenye kujua anifanunulie tafadhali.

Tiba
 
1. Sukari,mayai,baiskeli2. kanga,pilau,walikuku

3. sambusa,tairi za trekta
4. madaftari na bia aina zote
5. petroli,matunda,nazi
6. vitumbua,mitumba grade one
7. supu ya utumbo,mabati,vocha
8. mtego wa panya,pembejeo
9. makabati ya nguo,kompyuta
10. juisi na mbogamboga
11. mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti

12. leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu
KARIBUNIEE!!!!!!!

super-hard

We mtu kiboko. U've made my day lol
 
Hivi macho yangu hayaoni vizuri au vipi? Hivi neno "TAITA" lililo kwenye bango na "TYTA" jina la mwana JF ni kitu kile kile?

Mwenye kujua anifanunulie tafadhali.

Tiba

Angeandika hii ya Jf mtaani wangeshindwa kusoma
 
Hivi macho yangu hayaoni vizuri au vipi? Hivi neno "TAITA" lililo kwenye bango na "TYTA" jina la mwana JF ni kitu kile kile?

Mwenye kujua anifanunulie tafadhali.

Tiba

wachoraji wetu maandishi uswahilini utawaweza....
Captufre.PNGCwapture.PNG
 
Back
Top Bottom