Maeneo ya kupanda na kutunza hiyo miti yapo? Maana shule nyingi za msingi na sekondari hazina maeneo ya kutosha,let say sekondari yenye wanafunzi 300 wakipanda miti 3 itakuwa miti 900 hiyo ni kwa mwaka mmoja, mwaka mwingine wakiingia wanafunzi 100,kutakuwa na ongezeko la miti 300,sasa maeneo yatatosha ? je umbali kati ya mti na mti utakuwa mita ngapi..la sivyo wafanye kila halmashauri itoe eneo la upandaji miti wa pamoja badala ya maeneo ya shule,kitu kitachofanya shule iliyo mbali na eneo kutumia muda wa masomo kuishia kutunza miti.