Hongera Maulid Kitenge

Ninachojiuliza ni kwamba huyu "Afisa Usalama" anatumia mikono yake kumsukuma Nape na kujibanza kwa watu ilhali silaha iko kwa kiuno, hahofii kuwa wanaweza kuichomoa na kumfanyizia !!
Usalama feki ndivyo walivyo, ethics za usalama hawana kabisa
 
Jaribuni kupitia picha za maulid kitenge katika kurasa za fecebook, alafu muje kuchangia upya
 
Umeeleza vizuri ila usalama wa wapi huyo hadi bastola inaonekana. Je tungemkwapua na kumuua.Maana ilikuwa wazi tu na kusingizia jambazi. Usalama hutajua anspotunza silaha hata siku moja. Wale wahuni tu.
 
Huyo jamaa atakuwa anaugua ngomaaa,cheki alivyokondaa yaani mtangazaji anamtoa nishai
 
Protea.
Wengine watakuelekeza ilipo ila njia ya kwenda Masaki (ushuani)
Karibu na kanisa la St.peter
Maana picha nilizoziona niliona kanisa la Mtakatifu Petro na najua ndio karibu na Protea Hotel.Nilikuwa namtahadharisha mleta mada hakikishe maandishi yake tu.Umakini unapimwa na maneno yako uyaandikayo au uyasemayo.
 
Reactions: SDG
Tutamuelewa mheshimiwa baada ya muda. Hao kina dkt. Machache wanafiki mno. Awamu wamebanwa kila kona. Hakuna kupenyeza kimemo ili kupata upendeleo. Hapa kazi tu
Pole bado unasubilia kumuelewa. Mwambie kakosea njia. Aitafute....Na kuipata ni kujishusha na kusikiliza wananchi.
 
kwa anae soma dot to dot na akaelewa, atajua lengo la mwandish, je ni kumsifia kitenge? au ku RE think da event and da words again?, mwandish sikupongez wala kukulaum ilaa daa........., yaan asaiv unaweza ukazungukwa ukaona hoyeee, kumbe upo nyavuni.
WAELEWA MMEMUELEWA
 
Kwani kuna mtu asiyejua kwamba kitenge ni usalama. Yule yupo katika ivi vyombo vya habari kwa kazi maalum. Jezi nambari 9 mgongoni Maulidi mbaraka wa kitenge
Sijaona jipya kazi anapewa na nani?!au itv na efm zina....
 
Hongera sana Maulid Kitenge. Huo tunaita ni Moyo Kabla ya Silaha!
Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Mwaka 2002 nnikiwa Ruvu jkt depo walichukuliwa vijana watatu kimya kimya later tukaambiwa hao si wenzenu tena wameula...wamepelekwa usalama wa taifa. Kila mmoja alishangaa walikuwa ni darasa la saba wote watatu.

Miaka mitano baadae nikiwa kijijini kwetu nilifanikiwa kumuona jamaa aliyeishia darasa la saba na alinitangulia darasa moja na hakuendelea na masomo ya secondary na sasa ni usalama wa taifa tena ni boss! Akija kijijini kwetu hadi RCO na RPC wanampa respect ya hali ya juu. Baadae nasikia alijiendeleza hadi form four through evening programme!

But the point is walio wengi usalama wa taifa ni akina bashite! Graduate au master degree holder hawezi kutumika kwa kazi za kisenge senge wanazotumwa hao jamaa kwenda kuzidukuaaa ila wao coz ya uelewa wao ni mdogo they have to do it
 
Nampongeza kitenge sana\,ila ninamlaanu huyu kijana,hakika tutachujua hatua kali za kutoa silaha nje na kurudisha ikiwa haija mwaga damu pumbafu ulitoa ya nn?tulish Kufumdsha ukiitoa ukaona adui ni ngangar jipige mwenyewe pumbafu
 
Umeandika nin pimbi wew
Sasa angemuua basi kitenge uone ambacho kingempata kupitia waandishi wote wa habari waliokuwa pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…