Hongera Maua Seminari kwa matokeo ya Kidato cha IV

Magobe- Maua kumbe sio shule ya Historia, Jiographia na masomo kama hayo, bali pia wanafundisha vocational programs- kumbe hata yule anayefeli pale anaweza akaenda kwenye entertainment industry( music) au ufugaji au carpentry---hizi ndizo shule tunazozitamani.

TYK!
 
Ndiyo. Wakati wetu waliokuwa wanafeli pale walikuwa wanatafutiwa shule nyingine zilizokuwa zinalingana na speed yao ya kusoma maana pale Maua workload ya masomo ilikuwa kubwa - masomo 12 + vocational training. Halafu tulikuwa na "sauna bath", swimming pool na kilikuwa kituo cha wale wanaopanda mlima Kilimanjaro. Hata wanafunzi walikuwa wanahimizwa kupanda mlima Kilimanjaro. Wakati ule theruji ilikuwa inafunika mlima mzima hadi chini. Eti siku hizi kamebakia kakibandiko keupe tu pale juu. Maua ilikuwa ina provide nguo za kujikinga na baridi, viatu, groves na vifaa vingine vya kupandia mlima Kilimanjaro. Tulikuwa pia tunafanya study tours kule West Kilimanjaro na Mombasa, Kenya + michezo + English debate na sekondari mbalimbali za Kilimanjaro. Sidhani kwa wakati wetu kulikuwa sekondari ambayo hatukwenda, vyuo na mahoteli kwa ajili ya kuandika study project paper Form IV.

Kwa vile Maua iko kijiji cha mwisho kabisa kabla ya kufika kwenye msitu wa Mlima, Padri Ladislaus alipenda sana huo msitu na tulikuwa tukienda kupanda miche mingine ya miti ya asili. Nasikia miti ilipokua vizuri na msitu ukapendeza, vigogo walimzuia asihusike na chochote kule msituni na wakaanza kuuvuna. Nadhani walio Maua sasa hivi wanaweza kutuzuja kama ule msitu umeshageuka mbuga au la maana nasikia vigogo walianza kuvuna miti!
 
Yah kaka, mimi wakati nasoma pale ndo zilianza hizo zengwe. Walimsumbua sana fr Ladislaus kuhusu kuhusika na msitu.

Maskini mzungu wa watu alichukia sana. Maana alipoteza mamilioni ya hela kule msituni. Msitu ulikuwa unahudumiwa kwa gharama sana.

Ila alipeleka kesi mahakamani, sasa sijui kama alishinda au la..
 
Pongezi kwa maua seminary, mimi ni muislamu pure, and i did my 1st degree in St. Augustne unvrsty, kiukwel "wakristo" ktk elimu hawana mchezo, "sisi" kuna weng we2 2na mushkeri,
ila wakat 2napongeza "maua" pia tuwaonee huruma jiran ze2 wa kata..
 
Hongereni sana Maua kwa matokeo mazuri.

Mimi nina mdogo wangu pale ,hata sioni taabu kumpa chochote kile muhimu anachotaka.

Well ninapenda sana wanavyolelewa watu seminarini. ,mimi nikiwa mmojawapo ya waliofadika ninawashauri ndugu zetu wengine muige mfano huu.

Narudia hongereni sana Maua.
 
Back
Top Bottom