nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
kufuatia sakata la kigaidi lililotokea Kenya apa kivukoni kuna upekuzi...hii itatuweka salama sana ukizingatia kivuko kinabeba watu wengi alishababu wakiingia huko watatumaliza ....ningeomba uongozi utafute angalau wanajeshi 10 kwa kila kivuko tuwe tunavuka nao kwa usalama zaidi....

Huo ukaguzi unahusisha magari na waenda kwa miguu?? Bado nafikiri kuna mengi zaidi yanahitajika pale kivukoni.
Hivi CCTV zipo za kutosha pale?
Kabla ya kuuliza kama CCTV zipo za kutosha, hebu tuulize kama kuna hata CCTV moja
Niliona kuanzia jmo kuna askari alikuw anakagua magari na baadhi ya abiria lakujiuliza jee ni zoezi endelevuu?
Bado sana,gari inakaguliwa chini lakini ndani haikaguliwi!
ha ha ha bora kufa ukiwa una sifu uwanja wa taifa kuliko kujifungia ndani...