Hongera mama Anna Mghwira

kaongea nini?
 
Mbona hamsemi aliyoongea DC sabaya,au sababu kawasema mnavyotumia shida za watu kuwaibia?,alichokisema kinawaacha uchi na dhambi ya wizi na uuaji
MNFUMAKOLE,

Sikutegemea angeongea hivi yaani ameongea kwa hekima sana sasa wale waliokimbilia kulaumu bila kufikiria kwanza wameumbuka. Kweli kila jaribu lina mlango wa kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta alichosema sabaya,hajapaka rangi maneno,kawacha uchi majizi hawa kupitia jina la Kristo,
Nimefurahi aliposema anashukuru sababu mashrkhe na wachunhaji wote walioongea hawaja sema kazi ya Mungu haina makosa,
Kwa nini hawajatumia msamiati huu
Mnyeti, sabaya, muro Vp walizungumza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kutaka kusikia ujumbe wa faraja, ili muendelee kwenda huko kwa wachungaji uchwara mkafe.

Na mtaendelea kufa sana wajinga nyinyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyo jamaa Mwaiposa alikuwepo hapo?,au bado anakula kiyoyozi hotelini?
 

Kwamba Simbachawene hakufikiri?
 
Kwani nimekulazimisha kusoma? Onyesha ustarabu basi, ficha ujinga wako!
Mkuu jamaa kasema kweli, ulichoandika ni sawa na usiku wa manane asee, kama unashindwa kueleza alichoongea ni sawa a udaku hapa jf.
 
Katika nyakati ambazo viongozi wana mazoea ya kuongea kwa mihemuko, kiongozi akiongea kwa stqha ya kawaida anaonekana amefanya kitu cha ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…