Hongera mama Anna-ACT

Hongera mama Anna-ACT

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Nikiwa mwana Ukawa mkereketwa naomba nichukue fursa hii mwanamama Anna mgombea Urais kwa ushujaa Na uzalenzo Wa nchi hii!;bila kujali maslahi binafsi...Mara ya kwanza nilikuwa simwelewi but I'm telling you....she knows how to deal with political issues...mfano..Leo tu kwenye Taarifa ya habari ya ITV Amesema chanzo cha vyama vingi Lengo lake nilikuwa kuikosoa serialised pia kuchukukua madaraka( To take over)Na si vyama vya upinzani vyeenyewe kwa vyeenyewe kusigana haina maana lengo KUU Ni kukitoa madarakani chama kilichopo kwa kuwa hakijaleta matunda Yale yaliyokusudiwa...tena akaenda mbali Na kusema wananchi chagueni Upinzani..iwe yeye au chama pinzani chochote ilimradi kukipumzisha kilichopo...Ni mwanasiasa mkomavu pekeake ndo mwenye kuyaona haya...Tukumbuke..kule Mbagala chama cha ACT kilipozinduliwa Zitto badala ya kustic Na Agendas ya chama aliegemea kukashifu upinzani ili hali nae Ni mpinzani..sasa hapo LAZIMA MTU auliza Anatumika?...we Ni mpinzani unamsema mpinzani mwenzakoo inakuwa haileti maana Ni bora angeenda Tawala hapo isingekuwa Nongwaa....Mama Anna mgwiwira...Much Respect.!!!!
 
Nimemuona akonay alijaribu kujitetea
 
kama hayuko kwenye politics kukingoa chama tawala ili kushika madaraka she is in a wrong business. mwaka huu business ni moja tu CCM OUT NO MATTER WHAT
 
Huyu anaweza akafukuzwa na Zitto. Anayofanya Zitto kule Kigoma kwa kafulila yanaonyesha Zitto hana lengo la kuiondoa ccm madarakani ila ana u binafsi uliokithiri. It's just a matter of time before we see who are they
 
Hata mm nimemsiki sikuamini masikio yangu. Niliyekuwa naye pembeni akasema huyu Mama anatafuta balaa kwa Kiongozi Mkuu wa Chama ambaye anapigana usiku na mchana kuhakikisha CCM inabaki madarakani. Respect Mama!!!!! Nimekuelewa sana leo.
 
Hivi siyo Mara ya

kwanza kusema tatizo o ni ccm hiyo anasema chagua Act au

chama vingine cha Upinzani lakini siyo Ccm

Safi sana !!!!!
inakuwa na mantiki
 
Hayo maneno aliyosema hayawahusu na wale wanaokiita chama chake ni CCM B?
 
Hivi hiyo maza anagombea udiwani kata gani?

Ni Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

Nikiwa muwazi kabisa, ukiachilia mbali mahaba watu waliojaa nayo kwenye vyama hivi vikubwa viwili, kama tukipima uwezo wa kupangilia na kuzungumza vitu kwa logic na kueleweka, huyu mma yuko kwenye level nyingine

I wish either atakayeshinda Urais atafute kufanya kazi na huyu mama...she seems to mean business
 
Mkuu,huyu mama Anna mghwila,yupo vizuri sana. Nimekuwa namfuatilia amenishawishi kwa namna anavyofanya siasa zake. amkomaa kweli,hana majungu hata kidg,bahati mbaya tu kuwa kura ya urais ni moja. Big up mama.
 
Zittto ni mchumia tumbo tu....trust me guys mtu kama Mchange ana mtia aibu sana zittto na kumshushia heshima kwa vitu anavyo viongea
 
Ni Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

Nikiwa muwazi kabisa, ukiachilia mbali mahaba watu waliojaa nayo kwenye vyama hivi vikubwa viwili, kama tukipima uwezo wa kupangilia na kuzungumza vitu kwa logic na kueleweka, huyu mma yuko kwenye level nyingine

I wish either atakayeshinda Urais atafute kufanya kazi na huyu mama...she seems to mean business

Duuh! mbona kafunikwa hivi? hata hasikiki yani hadi hiruma. ok tutampa ujumbe wa nyumba hapo singida mjini
 
Ni Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

Nikiwa muwazi kabisa, ukiachilia mbali mahaba watu waliojaa nayo kwenye vyama hivi vikubwa viwili, kama tukipima uwezo wa kupangilia na kuzungumza vitu kwa logic na kueleweka, huyu mma yuko kwenye level nyingine

I wish either atakayeshinda Urais atafute kufanya kazi na huyu mama...she seems to mean business

Ni kweli kabisa. Lowassa ndio kamuacha mbali mnooo
 
Zitto wengi tulimwamini..ila the guy is no more......Is not dead but dead politically.
 
Nikiwa mwana Ukawa mkereketwa naomba nichukue fursa hii mwanamama Anna mgombea Urais kwa ushujaa Na uzalenzo Wa nchi hii!;bila kujali maslahi binafsi...Mara ya kwanza nilikuwa simwelewi but I'm telling you....she knows how to deal with political issues...mfano..Leo tu kwenye Taarifa ya habari ya ITV Amesema chanzo cha vyama vingi Lengo lake nilikuwa kuikosoa serialised pia kuchukukua madaraka( To take over)Na si vyama vya upinzani vyeenyewe kwa vyeenyewe kusigana haina maana lengo KUU Ni kukitoa madarakani chama kilichopo kwa kuwa hakijaleta matunda Yale yaliyokusudiwa...tena akaenda mbali Na kusema wananchi chagueni Upinzani..iwe yeye au chama pinzani chochote ilimradi kukipumzisha kilichopo...Ni mwanasiasa mkomavu pekeake ndo mwenye kuyaona haya...Tukumbuke..kule Mbagala chama cha ACT kilipozinduliwa Zitto badala ya kustic Na Agendas ya chama aliegemea kukashifu upinzani ili hali nae Ni mpinzani..sasa hapo LAZIMA MTU auliza Anatumika?...we Ni mpinzani unamsema mpinzani mwenzakoo inakuwa haileti maana Ni bora angeenda Tawala hapo isingekuwa Nongwaa....Mama Anna mgwiwira...Much Respect.!!!!
Iko vizuri hiyo- big up Anna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom