Hongera mahenge, wilaya moja mawaziri wawili

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,124
Wakumbuke kwao basi sio kuuza sura tuu apo kama waliowai kuwa mawazili toka Sumbawanga enzi zileeeeeeeeeeeeeeeee
 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,282
17,042
Very very saddening...si ni watanzania wote? watakuja watu hapa ooh mbona mmoja muislamu mwingine mkristu...good to note though daraja lijengwe mto Kilombero
 

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
25,687
20,525
Mh. Celline Kombani- Katiba na sheria
Mh. Haji H. Mponda- Afya
Umeshaanza ubaguzi................ Haya umewagawa kwa maeneo..........hautaishia hapo...............utaendelea tu.........kwa jinsia.............kabila ................dini................maumbo................urefu..................n.k .......WAPE HONGERA KWA KUCHAGULIWA KWAO NA SI ANAKOTOKA.............. mxhdfshalaks
 

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,903
3,235
Mponda.jpeg Kombani.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom