OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,703
- 106,113
Katibu Mpya wa Itikadi na Uenezi wa CCM ni Humphrey Polepole.Huyu amamrithi Nape Nnauye ambaye alikuwa na mrundikano wa vyeo.
Uteuzi huu unastahili pongezi kwa kuwa umezingatia ile marufuku ya Rais Magufuli katika kurundikiana vyeo.Magufuli alisema atahakikisha hakuna mtu anakuwa na "mavyeo mengi" kama vile hakuna watu wengine wa "kufanza" kama yeye
Kwa kuwa H.Polepole atakuwa mwenezi tu atakuwa na mda mkubwa wa kueneza chama,tofauti kama angekuwa Mkuu wa Wilaya angelazimika kubinya mda wa kuwahudumia wananchi.
Hongera Rais wetu,hongera Polepole