MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Idd Amin angekuwepo angeshinda kirahisi sana kwa udhaifu huu wa DHAIFU
hayo yamepitwa na wakati 2015 ni kama kenya waislam CUF, Wakristo chadema,mafisadi CCM. liko ndani ya mioyo yetu japo alisemwiWaziri wa Ujenzi, Dr. Magufuli amewapasha madiwani wa Chadema kupitia Meya wa Manispaa ya Musoma kuacha kuwaongopea wananchi kuwa miradi ya maendeleo imefanyika katika kipindi cha halmashauri kuongozwa na Chadema.
Dr. Magufuli amewaambia wananchi wa Musoma kwamba miradi yote ya maendeleo iliyofanyika ndani ya manispaa imefuata yale yaliyoanishwa katika ILANI YA UCHAGUZI ya CCM ambayo inaendelea kutekelezwa na serikali ya CCM. "Chadema hawana uwezo wa kutekeleza miradi husika kwa vile fedha zimeshikiliwa na kuamualiwa matumizi na serikali iliyo mikononi mwa CCM".
Dr. Magufuli ameyasema haya akiwa katika mkutano wa hadhara, mtaa wa Mukendo, Musoma Mjini.
Chanzo; Gazeti la Majira, Machi 8, 2013.
Waziri wa Ujenzi, Dr. Magufuli amewapasha madiwani wa Chadema kupitia Meya wa Manispaa ya Musoma kuacha kuwaongopea wananchi kuwa miradi ya maendeleo imefanyika katika kipindi cha halmashauri kuongozwa na Chadema.