Elections 2015 Hongera Lowassa: Wewe ni bingwa wa siasa za Tanzania


Ukitazama kwa namna flani mtoa mada uko sahihi ingawa ukweli unauma na wengi watakupinga..Ila sio kwa kujibu hoja yako
 
Yaaani nimecheka mpaka naonekana kitu nilipoulizwa unacheka nini nikawaonyesha mdahalo wenu huu

Kuna aliecheka mpaka kajamba
Mkuu usicheke kuna watu wanakesha hukooo.... Magufuli asitembelee kwenye taasisi zao ama mikoa na wilaya zao.
 
Mimi nilikuwa simkubali ila nilipokutana naye mwanza kidogo kuna vielement vya kumkubali vilianza kuota kichwani jamaa atakuwa anajipaka mafuta ya simba akichanganya na ya twiga
Umeona, huyo ndugu hata kama akikubomolea nyumba yako....ukikutana nae utamsifia tu kwa maendeleo.!
 
Kweli iliyo chungu
 
ulikua na hoja nzuri ila tatizo lako umeandika kishabiki na andika kukosa maana
 
Hili Kaburi pia ni chungu sana kwa Makarai Kama lile pia Pasco alilotabiri kuwa Edward angegombea kupitia Ukawa?

Chadema wamefundishwa Siasa na CCM Safari Hii!
 
Kaka kuna madini makubwa, hata nilichelewa kuelewa ila huyu jamaa atakuwa ana akili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…