Elections 2015 Hongera Lowassa: Wewe ni bingwa wa siasa za Tanzania

Sio hasira ndio ukweli, Lowassa yupo Chadema kulipa kisasi.!
idawa; idawa, idawa. Mbona unahasira na Lowasa hivyo?? Nafuu ungemchukia hata Mbowe tu iishe kwani anaweza kuwa kiongozi wa jimbo tu lakini Mh. Edward Ngoyai Lowasa ndiye rais wako. Utakwenda wapi idawa?? Hicho kisasi mnachosema amekuja kumtenda nani?? Mbona mna shida kuubwa hivi?? Kama hujamtwangia mkewe Regina, kama hujamtukana hadharani kama yule kichaa wenu Nepii, kama huja mwibia kura yake kule NEC ya ccm, hofu ya kisasi ipo wapi jamani?? Haya USIOGOPE kasema hata kama ulimfanyia hayo yooote, hatakuweka ndani ka Babu Seya. Endelea kujifariji tuuu ila akiwa rais, usifungue tena domo lako. Hana shida na mtu ana shida na umasikini ulioko Tz ambao aliyemtangulia alidiriki kusema UPO LAKINI HAJUI ULITOKEA WAPI UMASIKINI HUUUUUUU:A S-rap::A S-rap::A S-rap:
 
idawa; idawa, idawa. Mbona unahasira na Lowasa hivyo?? Nafuu ungemchukia hata Mbowe tu iishe kwani anaweza kuwa kiongozi wa jimbo tu lakini Mh. Edward Ngoyai Lowasa ndiye rais wako. Utakwenda wapi idawa?? Hicho kisasi mnachosema amekuja kumtenda nani?? Mbona mna shida kuubwa hivi?? Kama hujamtwangia mkewe Regina, kama hujamtukana hadharani kama yule kichaa wenu Nepii, kama huja mwibia kura yake kule NEC ya ccm, hofu ya kisasi ipo wapi jamani?? Haya USIOGOPE kasema hata kama ulimfanyia hayo yooote, hatakuweka ndani ka Babu Seya. Endelea kujifariji tuuu ila akiwa rais, usifungue tena domo lako. Hana shida na mtu ana shida na umasikini ulioko Tzambao aliyemtangulia alidiriki kusema UPO LAKINI HAJUI ULITOKEA WAPI UMASIKINI HUUUUUUU:A S-rap::A S-rap::A S-rap:

1443686716305.jpg
Amefanya juhudi gani kuuondoa huu Monduli zaidi ya miaka 35 ya ubunge wake.!
 
View attachment 293333
Amefanya juhudi gani kuuondoa huu Monduli zaidi ya miaka 35 ya ubunge wake.!

idawa;
ndo amekuambia sasa mchague aondoe huo umasikini sio tu Monduli bali mpaka kuleeee kwenyu. Hatagawa khanga na vesti, hatagawa wali wa nyama ya tembo, atashusha bei ya vifaa vya ujenzi, ataondoa biashara ya michango ya elimu nk. Mchague tu Lowasa mara hii tu, akishindwa tutampiga chini tumchague mwingine. Mbona tumeichagua ccm miaka yoooooote bila mafanikio?? Sasa tuipige chini, tuchague UKAWA tulete mabadiliko
 
idawa, hapa umesema kweli tupu. Hawa jamaa wamebaki kimya/au wanakutukana coz ukweli unauma siku zote
 
Last edited by a moderator:
Itapendeza Sana Kwa Moyo Huu Huu Ukituwekea Na Picha Mgombea Wako AKITOA HAJA KUBWA ( AKIUKWEKA ) Ili Watanzania Pia Waweze Kujua Udhaifu Wake Na Yeye Pia. au Huna Picha Ya Tukio Hilo La Aibu TUKUWEKEE?

Hii picha najua kutoka chini ya uvungu Wa moyo wako imekuumiza na kukukera.

Ila huna jinsi sababu umetumwa kazi na ni lazima uifanye kuwatii mabwana zako.

Inakubidi kujifanya kichaa mbele ya screen za vifaa vya watu,kupitia maandishi.
 
Itapendeza Sana Kwa Moyo Huu Huu Ukituwekea Na Picha Mgombea Wako AKITOA HAJA KUBWA ( AKIUKWEKA ) Ili Watanzania Pia Waweze Kujua Udhaifu Wake Na Yeye Pia. au Huna Picha Ya Tukio Hilo La Aibu TUKUWEKEE?

ingependeza ziaidi maradufu kama ungetuwekea picha inayoonesha uume wa mgombea wako kama kweli ni govi (mkono wa sweta) au ni maneno tu! au unasemaje? utaanza wewe kuweka au vp?
 
idawa;
ndo amekuambia sasa mchague aondoe huo umasikini sio tu Monduli bali mpaka kuleeee kwenyu. Hatagawa khanga na vesti, hatagawa wali wa nyama ya tembo, atashusha bei ya vifaa vya ujenzi, ataondoa biashara ya michango ya elimu nk. Mchague tu Lowasa mara hii tu, akishindwa tutampiga chini tumchague mwingine. Mbona tumeichagua ccm miaka yoooooote bila mafanikio?? Sasa tuipige chini, tuchague UKAWA tulete mabadiliko

Hata ivyo ilan ya CCM kwa miaka hyo yote hajawahi ongelea kuhusu umasikini na yeye alikuwa anatekeleza yalimo humo
 
idawa, hapa umesema kweli tupu. Hawa jamaa wamebaki kimya/au wanakutukana coz ukweli unauma siku zote

Mkuu nakuonaga unajifanya kujaribu kuwa neutral lakini kitendo hicho kinakuachaga uchi sema hujijui tu, kama ni kweli huipendi ccm na lowasa too, bora ungejisalimisha kwa mmama wa act tujue moja, mbona idawa asaiv tushamzoea baada ya kuamua kuwa gamba. Watanzania tunataka ccm ing'oke full stop
 
Last edited by a moderator:
Idawa wewe utakuwa umechanganyikiwa mabadiliko ya kweli unayoyataka wewe ni yapi? Kama unaamini mabadiliko ya kweli ni yale yasiyohusisha mgombea mwenye tuhuma ningekuona unaakili kama ungefanya juhudi za kuwajenga na kuwasapoti Ana mgwira wa act au hashim rungwe au mgombea yeyote tofauti na magufuli na lowasa, lakini cha kushangaza umekuwa mnazi wa maccm lichama ambalo tulikuwa tunalinanga wote humu jamvini usiku na mchana hivi kwanini mnataka kutuaminisha ni nyinyi pekee ndo mna akili kuliko watanzania wote? Aahh mnakera sana.
 
idawa

Andiko lako linaonyesha unaugulia maumivu fulani. Lowassa is an asset; not liability. Kama kuna mwenye issue na Lowassa apeleke mahakamani.

Lakini pia kwa nini chama chako kipya kisitumie kete ya ufisadi wa Lowassa kupata ushindi laini? Mbona magufuli na ccm nzima wanahaha sana na kutumia mabilioni ya shilingi kupiga kampeni? Kuondoka kwa Lowassa kumewakoroga sana ccm.

Vote for UKAWA; vote for Lowassa.
 
Last edited by a moderator:
Hata ivyo ilan ya CCM kwa miaka hyo yote hajawahi ongelea kuhusu umasikini na yeye alikuwa anatekeleza yalimo humo

1443689773965.jpg

Na haya ndio maji ya wanayokunywa wanamonduli Lowassa akiwa mbunge kwa miaka thelathini na tano.
 
Idawa wewe utakuwa umechanganyikiwa mabadiliko ya kweli unayoyataka wewe ni yapi? Kama unaamini mabadiliko ya kweli ni yale yasiyohusisha mgombea mwenye tuhuma ningekuona unaakili kama ungefanya juhudi za kuwajenga na kuwasapoti Ana mgwira wa act au hashim rungwe au mgombea yeyote tofauti na magufuli na lowasa, lakini cha kushangaza umekuwa mnazi wa maccm lichama ambalo tulikuwa tunalinanga wote humu jamvini usiku na mchana hivi kwanini mnataka kutuaminisha ni nyinyi pekee ndo mna akili kuliko watanzania wote? Aahh mnakera sana.
Chama ni watu mkuu na watu wenyewe ndio akina Lowassa, ni vigumu kumtenganisha Lowassa na maovu ya ccm, Lowassa ni yule yule wa ccm ila nyie ndio mmebadilika na kutoka ukamanda hadi kuimba mapambio ya kusifia ufisadi.!
 
Mkuu umesema siasa ni watu, sasa ulitaka chadema itoe watu kutoka nchi za nje au sayari ya jupiter ili iendeshe siasa zake? Lowasa hawezi kuwa yuleyule wa ccm make cdm ina wanachama kibao waliokuwa ccm lakini baada ya kuhama wanapiga kazi kichadema, kamanda mawazo, ole millya, mpendazoe wale unaweza kusema bado ni wanaccm? Idawa hivi hujiulizi lowasa kaachia uwaziri 2008 je ufisadi umekoma ccm? Sasa iv unamshabikia magufuli kwa kuwa hujui tatizo ni chama lakini ukijua ccm ikishnda tena business as usual iko palepale na magufuli hawezi kuwafanya lolote make kulindana ni jadi ya makada.
 
View attachment 293356

Na haya ndio maji ya wanayokunywa wanamonduli Lowassa akiwa mbunge kwa miaka thelathini na tano.

Unatakiwa ujue majukumu ya mbunge kwanza kabla ya kubwabwaja. Madaraka ya raisi ndiyo yanaondoa umaskini. Kagame Paul, ameondoa umaskini akiwa Raisi, na siyo akiwa makamu wa raisi enzi za paster Bizimungu. Pale ikulu ndipo penye mamlaka ya kuondoa umaskini. Ukiona nchi ni maskini muulize Raisi wa nchi ambaye ni Head of state, Head of Government and Commander in chief of the armed forces.Wewe unamuuliza mbune kwanini sehemu hakuna maji, wakati nchi ina waziri wa maji aliyeteuliwa na Raisi wako dhaifu.
Vote for Lowasa vote for ukawa.
 
Back
Top Bottom