nkosiyamakosini
Member
- Nov 4, 2010
- 83
- 2
Ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa Jakaya Kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana.
kumbuka kutimiza kila uliyoyanena, mungu na akusaidie.
'...mfalme daudi akalia sana, akararua nguo zake, akasema, imempasaje shujaa kufa afavyo mpumbavu?...'
Nami nakupa hongera kuwaua mashujaa wenzio. Thanks
Ahadi nyingi za 2005 zilishindikana. Sasa hizi alizomwaga kwa system ya free style kama viwanja vya ndege vya kimataifa mikoa mingi, fly-overs Dar, Satellite city Kigamboni and a lot more sina hakika kama ataviweza. Yetu macho!!!
Badili hilo jina lako kaka, genius usingeandika ulichoandika........ Huenda hata ilani ya chama unachopigia debe hujaisoma, ipitie uone mapungufu makubwa....... Mojawapo inaonesha tupo karne ya ishirini
Ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa Jakaya Kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana.
kumbuka kutimiza kila uliyoyanena, mungu na akusaidie.
'...mfalme daudi akalia sana, akararua nguo zake, akasema, imempasaje shujaa kufa afavyo mpumbavu?...'
Nami nakupa hongera kuwaua mashujaa wenzio. Thanks
Sasa ahadi za bure za Slaa ndugu ndiyo za kutekelezeka ? Hakuna kitu cha bure dunia hii bana, hayo mambo yameisha pitwa na wakati. 'Asiyefanya kazi na asile ' nyie mnataka kupeleka mpaka chakula bure majumbani mwetu si uwongo huo.
.Huyu ni abscondee wa CTU Monduli.....muulizeni Gen.G.F.Sayore
Anayeombaomba mpaka net ndiye ale! Nasikia kizunguzungu
ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa jakaya kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana.
kumbuka kutimiza kila uliyoyanena, mungu na akusaidie.
'...mfalme daudi akalia sana, akararua nguo zake, akasema, imempasaje shujaa kufa afavyo mpumbavu?...'
nami nakupa hongera kuwaua mashujaa wenzio. Thanks
.
Ndugu acha upotoshaji,,hata kama haumpendi jk,ukweli unabaki kuwa alimaliza mafunzo yake pale ctu monduli na aloweza kupanda hadi cheo cha luteni kanali na alikuwa political commisser wa chuo.
Wakati huo siasa majeshini ilikuwa inaruhusiwa.
n
Huyu alikuwa nanga tu...sema kilichombeba ni ukamisaa wa siasa...makamisaa wa siasa walikuwa wanapanda kadiri ya namna walivyoweza kufundisha siasa......huwezi kufananisha na makamanda wanaoenda OPERATIONS......huyu alikuwa na fani ya Mohamed Al Sahaf....jeshini...waulizeni lt gen.Sayore na Gen .WAITARA....wanamjuwa unanga wake ...na ameshawahi kuchezea vibao vya waiara