Elections 2010 Hongera Liutenant Colonel (Retired) Kikwete

Nov 4, 2010
83
2
Ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa Jakaya Kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana.
kumbuka kutimiza kila uliyoyanena, mungu na akusaidie.

'...mfalme daudi akalia sana, akararua nguo zake, akasema, imempasaje shujaa kufa afavyo mpumbavu?...'

Nami nakupa hongera kuwaua mashujaa wenzio. Thanks
 
Ahadi nyingi za 2005 zilishindikana. Sasa hizi alizomwaga kwa system ya free style kama viwanja vya ndege vya kimataifa mikoa mingi, fly-overs Dar, Satellite city Kigamboni and a lot more sina hakika kama ataviweza. Yetu macho!!!
 
Slaa na ahadi za bure kila kitu mpaka chakula chako cha nyumbani , niza kutekelezeka ? Ili hali kodi hakusanyi . Sijui ingekuwa serikali ya aina gani aisee, ni bora tu huyu huyu JK tu aendelee bana.
 
Slaa alitoa ahadi kuliko uwezo na ndo maana wananchi walimpiga chn kwa kujua swala hilo .asingeweza kutimiza hata robo ya ahadi zake.bora Jk tunayemjua.
 
Badili hilo jina lako kaka, genius usingeandika ulichoandika........ Huenda hata ilani ya chama unachopigia debe hujaisoma, ipitie uone mapungufu makubwa....... Mojawapo inaonesha tupo karne ya ishirini
 
Congrats muungwana, our prayers, god bless you and always tanzania first.
 
Badili hilo jina lako kaka, genius usingeandika ulichoandika........ Huenda hata ilani ya chama unachopigia debe hujaisoma, ipitie uone mapungufu makubwa....... Mojawapo inaonesha tupo karne ya ishirini

Sasa ahadi za bure za Slaa ndugu ndiyo za kutekelezeka ? Hakuna kitu cha bure dunia hii bana, hayo mambo yameisha pitwa na wakati. 'Asiyefanya kazi na asile ' nyie mnataka kupeleka mpaka chakula bure majumbani mwetu si uwongo huo.
 
Ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa Jakaya Kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana.
kumbuka kutimiza kila uliyoyanena, mungu na akusaidie.

'...mfalme daudi akalia sana, akararua nguo zake, akasema, imempasaje shujaa kufa afavyo mpumbavu?...'

Nami nakupa hongera kuwaua mashujaa wenzio. Thanks

Delusional..
 
Sasa ahadi za bure za Slaa ndugu ndiyo za kutekelezeka ? Hakuna kitu cha bure dunia hii bana, hayo mambo yameisha pitwa na wakati. 'Asiyefanya kazi na asile ' nyie mnataka kupeleka mpaka chakula bure majumbani mwetu si uwongo huo.

Anayeombaomba mpaka net ndiye ale! Nasikia kizunguzungu
 
Huyu ni abscondee wa CTU Monduli.....muulizeni Gen.G.F.Sayore
.
Ndugu acha upotoshaji,,hata kama haumpendi jk,ukweli unabaki kuwa alimaliza mafunzo yake pale ctu monduli na aloweza kupanda hadi cheo cha luteni kanali na alikuwa political commisser wa chuo.
Wakati huo siasa majeshini ilikuwa inaruhusiwa.

n
 
Wanaotakiwa wampongeze ni familia yake na wanaofaidika na uwepo wake kama wakina Makamba, Lowassa, RA,,,kwa mtanzania wa kawaida ni mateso na itatuchukua miaka zaidi ya 20 kujinasua kutokana na utawala wa huyu ndugu na kundi lake
 
Anayeombaomba mpaka net ndiye ale! Nasikia kizunguzungu

Anayeombaomba ( WEWE HUJAWAHI OMBA ? MBONA NAJUA WW NI OMBAMBA MKUU KABISA ) mpaka net ( MBONA ULICHUKUA SASA, AU NITOE SIRI )ndiye ale ( WEWE HULI ? BINAADAMU AU SHETANI WW ?)! Nasikia kizunguzungu ( WAHI HOSPITALI USIJE KUTUFIA HUMU JF AISEE )
 
ni matumaini yangu wadau, kuwa kila mpenda amani na nchi hii anautakia ushindi wa jakaya kikwete mema, fanaka na matarajio mazuri kwa kipindi 2010 - 2015, hongera sana.
kumbuka kutimiza kila uliyoyanena, mungu na akusaidie.

'...mfalme daudi akalia sana, akararua nguo zake, akasema, imempasaje shujaa kufa afavyo mpumbavu?...'

nami nakupa hongera kuwaua mashujaa wenzio. Thanks

lol.
 
.
Ndugu acha upotoshaji,,hata kama haumpendi jk,ukweli unabaki kuwa alimaliza mafunzo yake pale ctu monduli na aloweza kupanda hadi cheo cha luteni kanali na alikuwa political commisser wa chuo.
Wakati huo siasa majeshini ilikuwa inaruhusiwa.

n

Huyu alikuwa nanga tu...sema kilichombeba ni ukamisaa wa siasa...makamisaa wa siasa walikuwa wanapanda kadiri ya namna walivyoweza kufundisha siasa......huwezi kufananisha na makamanda wanaoenda OPERATIONS......huyu alikuwa na fani ya Mohamed Al Sahaf....jeshini...waulizeni lt gen.Sayore na Gen .WAITARA....wanamjuwa unanga wake ...na ameshawahi kuchezea vibao vya waiara
 
kwa kweli tukubaliane tu na mungu ni shahidi,uwezo wa kuongoza huyu bwana hana,decision making hana,hata huruma kwa wananchi wake hana.Tanzania hatustahili hata kidogo kuishi maisha haya,ukizingatia tz ni nchi ya 3 africa kwa utajiri wa madini,ya 3 africa kwa wingi wa ngombe,,ni ya tatu pia kwa utajiri wa misitu na mito mingi isiyokauka,na hekta 29mil ya ardhi bora yenye rutuba,ni ya pili africa kwa vivutio vya utalii,ngorongoro,serengeti,ya kwanza kuwa na mlima mrefu,tanzanite ......the list goes on and on.......
 
Huyu alikuwa nanga tu...sema kilichombeba ni ukamisaa wa siasa...makamisaa wa siasa walikuwa wanapanda kadiri ya namna walivyoweza kufundisha siasa......huwezi kufananisha na makamanda wanaoenda OPERATIONS......huyu alikuwa na fani ya Mohamed Al Sahaf....jeshini...waulizeni lt gen.Sayore na Gen .WAITARA....wanamjuwa unanga wake ...na ameshawahi kuchezea vibao vya waiara

Mkubwa,

Ina maana 'Dr. Mkwere' alikuwa kalumekenge tu kumbe! uluteni wa siasa na propaganda..

Na Makamba vipi? let me guess, u-luteni wa upishi.

Ndo maana nchi inaenda mrama bin alijojo.
 
The past cannot be 'overcome'. It is the past. But traces and, above all, the lessons to be learned from it extend to the present
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom