Hongera Leticia Nyerere...

Jafo ni majanga kwani anajifanya mjuaji lakini hana lolote. Leticia angefaa sana lakini kwa upumbavu wa wabunge, nchi inaenda kuumbuka tena

Mkuu unapo sema upumbavu wa wabunge unatakiwa ku-bold, upumbavu wa wabunge ccm ndio chanzo cha maamuzi mabovu! Ukifuatilia zile NDIOO na ule mfumo wa kuunga mkono hoja kwa asilimia 1000 halafu katikati ya michango wana lalamikia mambo kibao yaliyoko kwenye walicho unga mkono asilimia 1000!

Chama Cha Majanga!
 
hatutaki mbunge mwenye uraia wa USa
 
vp na leticia nyerere alipulizia pafuuuuum pindi anafanya interview hapo bungeni?????
 
Back
Top Bottom