Hongera Leticia Nyerere...

juzi kati hapa mmemponda sana alipowananga mnaokaa mitandaoni kutukana watu leo mnamuona shujaa
 
Kwa ufupi, leo bungeni ulikuwa na uchaguzi wa mwakilishi wa bunge la Tanzania katika SADC Parliamentary Forum (SADC PF), na wabunge waliojitokeza kugombea nafasi hiyo ni Selemani Jafo (Kisarawe-CCM), Laurencia Bukwimba (Busanda-CCM), na Leticia Nyerere (Viti Maalum-CHADEMA). Lugha ya kujieleza na kuomba kura ilikuwa ni Kiingereza. Akaanza Selemani Jafo, akaanza kuongea vizuri lakini kadiri muda ulivyokuwa unaendelea akawa anapoteza muelekeo na lugha ikawa inachangia kumpoteza kwani 'the, the, the' zikawa nyingi na hata kuonekana kweli kiingereza ni tatizo. Akafuata Leticia Nyerere, na wakati akienda wabunge wakawa wanaanza kucheka, bila shaka wakiwa wanaifahamu lafudhi yake, sasa sijui kwa kiingereza itakuwaje (hata mimi nilikuwa najua sasa dada anaumbuka). Heee! Mambo yakawa tofauti kabisa alipoanza kujieleza, yaani Leticia ameongea vizuri tena kwa lafudhi ya London, akajinadi, akaomba kura na akajibu maswali matatu kwa umahiri kabisa. Hapa hadi wabunge wa CUF niliona wanamshangilia! Ndipo akamalizia dada Lolensia Bukwimba. Huyu ndio aliyempa credit Leticia. Bukwimba alikuwa anaongea kiingereza kibovu au tuseme cha wastani kisichokuwa professional, chenye tasfiri ya moja kwa moja kutoka kiswahili kwenda kiingereza (siyo ya kimantiki), na alifunga kazi kwa kutojibu swali aliloulizwa badala yake akatoa maelezo yaliyo general kuhusu SADC.

Kama upigaji kura ungekuwa fair kuzingatia uelewa wa SADC PF na kujieleza, basi binafsi ningetoa hivi:
Leticia Nyerere 45%, Selemani Jafo 35% na Lorensia Bukwimba 20%.
Lakini kwa kuwa wanaopiga kura hawazingatii hayo, niliondoka kabla sijasikia matokeo, lakini nilikuwa najua Leticia hatachaguliwa kutokana na chama chake, Lorensia hatachaguliwa kutokana na kushindwa kujieleza, na nilijua Jafo atashinda kwani ndiye aliyebaki wa wastani hivi
 
Jafo ni majanga kwani anajifanya mjuaji lakini hana lolote. Leticia angefaa sana lakini kwa upumbavu wa wabunge, nchi inaenda kuumbuka tena
 
Bandiko hili ndilo lilipawsa liwe Thread, hapa umesomeka kwa 100%.
Invisible Moderator tunaomba bandiko hili mliweke kama updates pale juu kwenye thread.

Uliebandika bandiko hili nakuongezea reputation power zako JF.
 
Last edited by a moderator:
KUANDIKA ni sawa na kunyoa huwezi kumchagulia pa kuanzia, alitaka Tujuze Leticia kakosa kutokana na mfumo DUME, naenda michuziblog na google kupata habari zaidi,Why complain? ishhhhh! Ahsante kwa taarifa don-oba.
 
Last edited by a moderator:
Kwa ufupi, leo bungeni ulikuwa na uchaguzi wa mwakilishi wa bunge la Tanzania katika SADC Parliamentary Forum (SADC PF), na wabunge waliojitokeza kugombea nafasi hiyo ni Selemani Jafo (Kisarawe-CCM), Laurencia Bukwimba (Busanda-CCM), na Leticia Nyerere (Viti Maalum-CHADEMA). Lugha ya kujieleza na kuomba kura ilikuwa ni Kiingereza. Akaanza Selemani Jafo, akaanza kuongea vizuri lakini kadiri muda ulivyokuwa unaendelea akawa anapoteza muelekeo na lugha ikawa inachangia kumpoteza kwani 'the, the, the' zikawa nyingi na hata kuonekana kweli kiingereza ni tatizo. Akafuata Leticia Nyerere, na wakati akienda wabunge wakawa wanaanza kucheka, bila shaka wakiwa wanaifahamu lafudhi yake, sasa sijui kwa kiingereza itakuwaje (hata mimi nilikuwa najua sasa dada anaumbuka). Heee! Mambo yakawa tofauti kabisa alipoanza kujieleza, yaani Leticia ameongea vizuri tena kwa lafudhi ya London, akajinadi, akaomba kura na akajibu maswali matatu kwa umahiri kabisa. Hapa hadi wabunge wa CUF niliona wanamshangilia! Ndipo akamalizia dada Lolensia Bukwimba. Huyu ndio aliyempa credit Leticia. Bukwimba alikuwa anaongea kiingereza kibovu au tuseme cha wastani kisichokuwa professional, chenye tasfiri ya moja kwa moja kutoka kiswahili kwenda kiingereza (siyo ya kimantiki), na alifunga kazi kwa kutojibu swali aliloulizwa badala yake akatoa maelezo yaliyo general kuhusu SADC.

Kama upigaji kura ungekuwa fair kuzingatia uelewa wa SADC PF na kujieleza, basi binafsi ningetoa hivi:
Leticia Nyerere 45%, Selemani Jafo 35% na Lorensia Bukwimba 20%.
Lakini kwa kuwa wanaopiga kura hawazingatii hayo, niliondoka kabla sijasikia matokeo, lakini nilikuwa najua Leticia hatachaguliwa kutokana na chama chake, Lorensia hatachaguliwa kutokana na kushindwa kujieleza, na nilijua Jafo atashinda kwani ndiye aliyebaki wa wastani hivi

Asante kwa kuuelewesha umma, nilipotea kwasababu nilikuwa na majukumu mengine muhimu. Samahani sana kwa wote niliowalisha habari nusunusu.
 
Wabunge wa ccm kwa kweli ni majanga.. Huyo Jafo hakuwa na sifa kabisa... Lakini cha kushangaza kashinda.. Hata luga ya englishi kwake ni shida... Hao ndo ccm..hata wakiweka jiwe wanalipigia kura..
Sijui ni nani aliewaloga
 
Ujinga huu, unadhani JF inapatikana kariakoo na manzese peke yake? hivi una uelewa wowote wa Public relation? unaamini kabisa hapa umehabarisha umma? hovyooo!!

Asante mkuu, na samahani sana kukulisha habari nusu.
 
Pamoja na kwamba umeshika nafasi ya pili, umeonesha uwezo mkubwa wa kujieleza na kujibu maswali ya wabunge. Kumbuka mfumo dume bado umetawala sana ktk nyanja za kiungozi. Kura ulizopata ni ushindi tosha. Hongera sana Mh Leticia Nyerere.

thenkiyu vere maaachi in ana makinda's voice
 
Mtazuunguka sana mbuyu lkn.tatizo ni cdm kutokubali hata jema la ccm kila kukicha ccm haijafanya chochote ingawa kuna mengi yanayoonekana hata kwa asiyeona.Leo imewaghalimu maana pamoja na L. Nyerere kufanya vzr hata mm nimemkubali lkn kura hazikutosha hvy cdm msilalame sana jitambuweni na mjirekebishe na aina ya siasa zenu pia ubinafsi na kauli zenu haya ndio matokeo yake, Angalizo chungeni haya yasije yakashuka mpaka huko chini kwa wananchi wapiga kura.
 
Back
Top Bottom