unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
Mpendwa sana Mheshimiwa Lema. Kwanza Hongera kwa kuonyesha ni Muumini sana wa Katiba. Ni dalili kuwa popote ulipo iwe Nyumbani kwako. Katika kazi zako ,Chamani kwako Chadema. Katika UTUMiaji Wa RUZUKU za chama nk uko makini na unahakikisha kuwa „katiba“zake hazivunjwi.
Katibu wenu mwenezi. Mange mi muumini mzuri snaa pia Wa katiba .ukimweleza kwa umakini na upole Wa hoja ,hufuata „katiba yake“inayozingatia sana DEMOKRASIA „ yenye kanuni kubwa „BLOCK“ na kama anawambea wanakufahamu basi atatumia tena kanuni ya „katiba yake „ isemayo tukana. Wavue nguo nk. HUYU NDO anapenda watanzania wenye akili kama zake. wafuate katiba ya kuandamana KUMPINGa kiongozi Halali Wa nchi kwa VIGEZO VYA AJABU AMBAVYO UNaweza tu kufananisha na Sisi wakina mama. Tunapotaka attention kwa Hivi Vidume vyetu. Iwe wangu Mzungu na wenu watz wenzangu.
Mheshimiwa Lema. Najua siasa kwako ni Lishe. Lakini kumbuka hao unaotaka wafe kwa kufuata katiba yako. Kwa kumfuata mwanamke ambaye vigezo ,sifa ya maisha yake huwezi mwambia Mtoto wako akakuelewa. Kwako wewe the End justifies the means. Mama Mange yuko Marekani kwenye Keyboard.hajui hata anapigania nini. Hana Maadili. Sorry anayo kadiri ya Katiba yake na yenu .Mmekubali kushuka so low mkidhani mnasimamia katiba yenu. Na kwa kumbukumbu hata Katika mikutano yenu ya nyuma. Ilikuwa ni matusi na kashfa. Hakuna Nchi itakayotawaliwa na aina yenu ya siasa. KATIBA YENU haina subira. KATIBA YENU INARUHUSU KULA FEDHA LAKINI BILA SHUKRANI. katiba yenye sera ya kuona wananchi wanaumia ili tu. Mada za kuita Press Conference zipatikane. Mnaongea sana nahisi kuliko hata mngekuwa kwenye mikutano yenu ya KISIASa. Je mikutano itamlisha Mtanzania. Je siasa zenu haziwezi kujijenga katika mikakati na Sera. Sasa mmekuwa vibaraka wa wazungu. Sina chama na wala SITAINGIA CHAMA. ILA I HATE PEOPLE LIKE YOU LEMA WHO HIDE BEHIND THE Door OF CONSTITUTION to achieve their evil deeds. people like you who represent the mind of corrupt „investors und businessmen in endangering the Peace ,we hold dearly.,,,Lema na Hawa wafuasi wako wengi humu wakimbiliao matusi. You have Time Change. Tumikia Watu wako Wa Arusha. Mange ni janga Lake mwenyewe ila namba ya Comments and members wala iskutishe. Wtz wengi wamejaa kwenye page za Umbeya. Ushoga. Matusi. Kimsingi Watu wa ajabu ajabu ndo wenye wafuasi wengi Tz kuliko Watu na mambo muhimu.
Tanzania ni ya Amani. Na nashukuru sana Leo Mr President kwa kuvunja ukimya. Waje tu mana hata mtani condom zimejaaa nyingi lakini Watu wana hamu na kivuta UKIMWI. ...ngono zembe. Sisi tutawaangalia tu. Mana hatujui UZITO WA KUKUBALI KWENU KUTAFUTA MATATIZO VS AMANI NA USALAMA WA NCHI.
Mtatiro Leo kasifia ODINGA NA KENYATTA. Ahhh so shallow