Hongera Lema kwa kubadilika

Hongera Lema kwa kubadilika

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,277
Reaction score
13,920
Mwaka mmoja uliopita niliandika ujumbe na kusema Lema badilika na kwa kweli ni lazima niseme Lema kabadilika. Lema wa sasa ni mbunge anayeangalia maslahi ya mji wa kibiashara wa Arusha, ni kiongozi wa Arusha yote sio wana Chadema pekee, na Lema sasa anatangaza Arusha kwenye mikutano AICC, Madini na vilevile kwenye utalii. Lema wa sasa ana nguvu zaidi kuliko Lema wa miaka miwili iliyopita kwasababu Lema wa sasa ni Lema wa maendeleo ya Arusha. Wafanyabiashara sasa wanampenda Lema baada ya kugundua si adui na anawajali. Inawezekana ni umri au kufuta mawazo lakini ni lazima tumpe credit Lema kwa kubadilika. Kabla Lema hajawa mwanasiasa alikuwa mfanya biashara bna tunataka Arusha iwe kama Moshi chini ya Ndesamburo yaani ya kibiashara, safi, uchumi unaokuwa na no drama. Kila mtu Tanzania mwenye kuelewa anaelewa kuwa Moshi ni kati ya miji inayoendeshwa vizuri Tanzania na tunataka Arusha iwe ya Kibiashara.

IMG_8212.JPG
 
post ya jumapili tena muda kama huu ni viroba tu
 
unapaswa ku appreciate viongozi wenye damu na uchungu wa Tanzania na siyo kutoa kejeri huku ukikumbatia viongozi wanaofungamana na alshababu
 
Sasa ulitaka atumie nini baada ya kazi kujipongeza. Kwani kiroba nini? Ndugu Yangu mwambie huyo pimbi.....!
 
Nyie mnao ongelea pombe na viroba kwani Jaji Warioba ana kunywa nini?
 
chris tofauti na wewe Lema kabadilika kwa kukua na sio kubadilisha chama kwa kutafuta masilahi binafsi. Chris wewe umekua? nakuomba na wewe ukuwe kwasababu si kila kitu ni madongo unaonyesha utoto wa hali ya juu. Biashara yako kubwa ni siasa na haijalipa bado lakini sio sababu ya kupiga madongo maendeleo na maelewano kwenye jamii yetu!.
 
Mwaka mmoja uliopita niliandika ujumbe na kusema Lema badilika na kwa kweli ni lazima niseme Lema kabadilika. Lema wa sasa ni mbunge anayeangalia maslahi ya mji wa kibiashara wa Arusha, ni kiongozi wa Arusha yote sio wana Chadema pekee, na Lema sasa anatangaza Arusha kwenye mikutano AICC, Madini na vilevile kwenye utalii. Lema wa sasa ana nguvu zaidi kuliko Lema wa miaka miwili iliyopita kwasababu Lema wa sasa ni Lema wa maendeleo ya Arusha. Wafanyabiashara sasa wanampenda Lema baada ya kugundua si adui na anawajali. Inawezekana ni umri au kufuta mawazo lakini ni lazima tumpe credit Lema kwa kubadilika. Kabla Lema hajawa mwanasiasa alikuwa mfanya biashara bna tunataka Arusha iwe kama Moshi chini ya Ndesamburo yaani ya kibiashara, safi, uchumi unaokuwa na no drama. Kila mtu Tanzania mwenye kuelewa anaelewa kuwa Moshi ni kati ya miji inayoendeshwa vizuri Tanzania na tunataka Arusha iwe ya Kibiashara.

IMG_8212.JPG
Unayajua maneno japo hujui maana yake! Lema hakubadilika bali he is pragmatic; landscape ya kisiasa hapa Arusha imebadilika sana baada ya Brush ya 4 kwa Zero! Sijui kama una habari kuwa Lema sasa anahudhuria vikao vya Madiwani na Meya wa kichina Lyimo ndie anakwepa vikao, makamanda wako ulingoni hana majibu ya hoja kibao za tuhuma za ufisadi!
 
Safi sana.hao magamba ndio walikuwa wanaleta fujo.huyo meya wao wa kichina atakimbia ukumbi tu
 
Back
Top Bottom