Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Naona Kikwete ataacha tena kwenda kula bata Arusha maana mwanaume karudi kazini.
yupo kugema ulanzi Makete
Kama ambavyo wewe unaunga mkono CCM ukiwa CDM kwa sababu ya uislamu wa kinana na kikwete!. Kumbe Zitto unamshabikia kwa sababu ya uislamu wake? MASALIA WANAKAZI kubwa!
Tena mwanaume wa mbegu!!! Hongera sana Lema!! Kideume wewe!! Hongera sana mawakili wake Lissu et al....
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Tunapopeleka watoto wetu kusoma India tuwe makini sana, kule kuna Degree mpaka za kuchi kuchi hotae, ukihitaji unaletewa mpaka nyumbani kwa DHL ni pesa yako tu.Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
is this comming deep from your heart chief? as far as i know hivi mkiwaacha CDM waandamane juani; wafanye mikutano yao saa kumi na moja wasambaane huku wakiwa hoi kwa njaa na jua - mtapungukiwa na kitu kipi? hapa ndipo kwenye kiini cha tatizo -- Arusha, Morogoro, Iringa, Mwanza n.kNachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Nape hizo ni propaganda na sio pongezi, badili kichwa cha habari.Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!
Usiwe na tabu mkuu, hata JF huwa inatowa viti maalum, hawa huwa hawachelewi kulia na kusema hapa wanaonewa na JF ni Chadema. Mods huu uzi uacheni hapa hapa ujitegemee.Mods hizi hongera hazikuwa na hadhi ya kuanzishiwa thread nyingine,
Unganisheni na taarifa halisi ya Ushindi wa Lema!
Pongezi za Kinafiki.Mbona ulivyoenguliwa UVCCM ulipiga kelele ukidai vigogo wa Ikulu wala Rushwa wakubwa ndio waliokuangusha.Leo unaisifia tena Ikulu.Pole sana Gamba.