Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Washamuwasha risasi ya mkono na kachelewa matibabu so lazima ulemae! Hongera sana polisi

hiwezekani tukawa na fikra sawa! otherwise tutakuwa wafu!

Naomba siku moja tu hao polisi wakae kando wasiwepo barabarani,wasiwepo benki,wala wasionekane mtaani hapo ndo utajua Kama ni mabwege tu au wana umuhimu wao,tatizo lako nimegundua ni uelewa mdogoPolic mabegwe tu,hawana lolote.Wana.....gwa. wehu.wasifie watakuja kufa mda siyo mrefu
Haya ndio matatizo ya kuwa mke wa afande!
Usipo msifu anakukata makofi na usiku lzm uimbe wimbo wa taifa!
Kwa hiyo mi sikulaumu!
Hata mke wa afande jirani yangu anatabia hiyohiyo.
Hata afande akinya sebuleni anasifu kuwa eti amekunya kijeshi jeshi!
Teh teh teh teh!