Hongera kwa jeshi la Polisi

Hakuna atakaye baki,kila mtu atakufa,hata wewe unayetoa pongezi siku ikifika utakufa,Huwenda ikawa katika list ya mda wako wa kufa,ndio inasogea baada ya kufa mtu fulani.
 
Usifurahie kifo au kuumia au ajali,iko siku na wewe yatakukuta,na huwenda isiwe mda mrefu.
 
Bado kuelewa kwamba fujo wanaanzisha wenyewe polisi? Hilo linawapa fursa ya kufanya walilokusudia!

Kwa Mwangosi kulikuwa hakuna fujo hadi walipoianzisha wenyewe polisi na kuituliza kwa kumpiga bomu tumboni. Kisha wakasema alikufa kutokana na kitu kizito kilichotupwa na Chadema.

Tukusamehe kwani hujui unalofanya.
 

Pongezi yako imekuja leo baada ya polisi kumpiga risasi Sheikh Ponda.. Kazi tunayo watanzania..
 

We kweli kukumdogo tena mtetea,unawapongeza kwa kumpiga risasi Sheikh Ponda????
 
Mtu uliemdhania ana heshima zake kumbe mjinga anaekatazwa jambo baya kila siku na kila baada ya kukatazwa anarudia,utachoka kukasirika itabidi ufurahi tu.
 
Polis wapo ila wapo kimaslahi zaidi,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sku moja itakutokea polis watasema ni bahati mbaya mcheka mlemavu hafi kama hakujamkuta
 
Majambazi kilasiku wanakamatwa na kupelekwa gerezani kimya kimya na wanaohatarisha Amani ya nchi kama Ponda nao wanakamatwa kila siku sasa hapa kwanini nisiwape hongera? Angalieni hata znz uhamsho (kikundi cha kigaidi cha alshabab) kimeweza kutulizwa. Tuwapongeze kazi ikifanyika vizuri.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Yaani mpaka mizengo pinda yupo jf? Duh!!!
 
Kazi nzuri

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wewe unaepongeza upuuzi hui ni mdini halafu mshamba sana, ntakutafuta nikubambikie kesi ya uhujumu uchumi tu halafu tone jinsi polisi tulivyo wapumbavu

Umbambiki kesi ya kuhujumu uchumi wakati huyu jamaa ni muuza machungwa!
Teh teh teh teh!
Itabidi ufanye kazi ya ziada!
 
mkuu hayajakukuta au we ni mmoja wao nini
 
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya


Pongezi yako imekuja leo baada ya polisi kumpiga risasi Sheikh Ponda.. Kazi tunayo watanzania..
 
Pongezi gani ilhali hata ponda kawashinda kaja mpaka muhimbili bila kujulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…