Hongera Kikwete kwa Kutuachia Profesa Assad

Hakika Mzee Kikwete pamoja na kutuacha vibaya kwa kutusukumizia baadhi ya viongozi (kama wanavyo kiri wenyewe) ila kwa kutuachia CAG mkweli na mcha Mungu asiye na muda wa kujikomba ulicheza kama Pele.
Hivi asingekuwa Assad huu wizi tunsoambiwa ume originate from patakatifu nani angejua?
Ila sasa wana haha kumchangsnya arudi nyuma
😂😂😂😂😂. Sio Pele, kacheza kama Messi kama si Ronaldo,,,
 
Hakika Mzee Kikwete pamoja na kutuacha vibaya kwa kutusukumizia baadhi ya viongozi (kama wanavyo kiri wenyewe) ila kwa kutuachia CAG mkweli na mcha Mungu asiye na muda wa kujikomba ulicheza kama Pele.
Hivi asingekuwa Assad huu wizi tunsoambiwa ume originate from patakatifu nani angejua?
Ila sasa wana haha kumchangsnya arudi nyuma
Hata Magufuli akishaondoka mtamuita kwa heshima hii hii...tunawapeni muda tu.
 
Kwani nani alisema all with JK was bad, yako mazuri, yako mabaya!
Usahaulifu ndio tatizo kuu linalotugharimu. Hivi ungeweza kuandika sifa hata punje ya JK enzi zile watu si wangekugawana hasa humu JF! Hilo jicho la mazuri yake mmejua baada ya kuondoka madarakani na itakuwa hivyo hivyo kwa huyu wa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa kweli, waadilifu na wenye hofu ya Mungu kama GAG, Prof. Mussa Assad, huwa hawatakiwi katika serikali ambazo Mkuu mwenyewe ndiye anayeongoza kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni za matumizi ya fedha za umma kwa kufanya matumizi bila kuidhinishwa na bunge.

Ingekuwa position hiyo ya CAG haina security of tenure, Assad angeisha ngolewa siku nyingi na kosa lake ni moja tuu kuwa mkweli daima na muadilifu.

Niliwahi kuuliza humu

Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. - JamiiForums
P.
Pascal Mayalla najua kwa nini unamtetea sana Prof. Assad siku ikiwadia nitakujuza. Uliwaaminisha wanaJF kuwa Prof. Assad analindwa na Katiba eti hawezi kwenda kuhojiwa na Bunge lakini amewapuuza pamoja na Zitto wako ameenda kuhojiwa na Bunge sasa naona mmeumbuka!
 
Simtetei mtu bali kazi yangu ni kuusema tuu ukweli wenyewe halisi.

Ni kweli Spika hana mamlaka ya kumhoji CAG kwa mujibu wa Kinga yake kikatiba. Lakini kwa vile ndani ya nchi yetu kwa sasa kukiuka katiba kwa viongozi wetu is an order of the day, CAG ameitika wito wa Spika kuonyesha uugwana na sio kwa kuogopa pingu.

Soma bandiko hili na uangalie nilishauri nini.
Kuepusha Shari, Jee CAG Awadharau Aitike Wito, Aende Dodoma Kuhojiwa, or A Stick To His Guns, Katiba, Asiende, Liwalo na Liwe?. - JamiiForums
P
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ccm ni janga kwa taifa.Tanzania haitakuja kufikia uchumi wa kati kama maccm yataendelea kubaki madarakani.
Maisha yatazidi kuwa magumu kwa watu wote na kuwaneemesha wenye system.labda itokee tugawane fito hapo itapendeza zaidi na tutaheshimiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka nchi hii iendelee mh.ondooa WACHAGA NA WAPARE WOTE maana wamekalia ofisi nyingi na wanakulia timing tu huku wakichongeana line madili juu.
 
Hata Magufuli akishaondoka mtamuita kwa heshima hii hii...tunawapeni muda tu.
Mwanademokrasia VS Dikteta waweza kuwalinganisha? Hakuna dikteta akiyemaliza au kuondoka madarakani akiwa salama
 
Simtetei mtu bali kazi yangu ni kuusema tuu ukweli wenyewe halisi.

Ni kweli Spika hana mamlaka ya kumhoji CAG kwa mujibu wa Kinga yake kikatiba. Lakini kwa vile ndani ya nchi yetu kwa sasa kukiuka katiba kwa viongozi wetu is an order of the day, CAG ameitika wito wa Spika kuonyesha uugwana na sio kwa kuogopa pingu.

Soma bandiko hili na uangalie nilishauri nini.
Kuepusha Shari, Jee CAG Awadharau Aitike Wito, Aende Dodoma Kuhojiwa, or A Stick To His Guns, Katiba, Asiende, Liwalo na Liwe?. - JamiiForums
P
Mkuu kinga ya CAG haina mipaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha majambazi,a.k.a chama cha chukua chako mapema by marehemu mchungaji Christofa Mtikila hata kitawale miaka 1000 Hakuna watakachofanya zaidi ya ufisadi tu ,miaka 57 ya Uhuru wanatuletea rais aina ya jiwe,mambo mema aliyoyafanya kikwete kwa miaka kumi ameyafuta kwa miaka mitatu tu ,Nyumba walizojenga watu wakati wa kikwete amezivunja ngapi?halafu waliovunjiwa waanze moja tena.
 
Usahaulifu ndio tatizo kuu linalotugharimu. Hivi ungeweza kuandika sifa hata punje ya JK enzi zile watu si wangekugawana hasa humu JF! Hilo jicho la mazuri yake mmejua baada ya kuondoka madarakani na itakuwa hivyo hivyo kwa huyu wa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa taarifa yako ofisi kuu sasa hivi wana mlaumu JK kwa kuwaachia mtu wa "hovyo" Assad
 
Back
Top Bottom