Hongera Kikwete kwa Kutuachia Profesa Assad

Hongera Kikwete kwa Kutuachia Profesa Assad

Hata kubwa la majizi AKA kichaa jiwe ni zao la DHAIFU.
Mkuu kama nilivyosema, kstusukumizia watu Wa hovyo kweli lakini kwa kutuachia Assad hapo apongezwe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Usahaulifu ndio tatizo kuu linalotugharimu. Hivi ungeweza kuandika sifa hata punje ya JK enzi zile watu si wangekugawana hasa humu JF! Hilo jicho la mazuri yake mmejua baada ya kuondoka madarakani na itakuwa hivyo hivyo kwa huyu wa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyesahau. Overall rating ni kuwa JK alikuwa dhaifu!
 
Michakato hii huwa ni siri sirini, aliyeleta majina alijuaje maana post zote za wakuu wenye security of tenure huwa hazotangazwi na kazi hizo haziombwi bali majina huwa shortlisted based on sifa na vigezo tena it just happened ...
P
MAYALA,ALIPOMALIZA MUDA ALOONGEZWA MWAMUNYANGE HAPA HAPA WATU WALIKUWA WANADISCUSS AJAYE .MMOJA AKAROPOKA "Karibu Mabeyo" BAADA YA SIKU TATU HIVI Mabeyo AKATANGAZWA KWELI.
 
Salute sana Mkuu...
Kweli jk ashukuriwe sana kwa kutuachia mtu kama CAG Prof Mussa Assad..
Ila kuna Viongozi wengine aliotuachia jk mfano Bashite yani ni bora angeondoka nao tu.
Bashite kufuta viatu vya mwanae unadhani ni kazi ndogo? Kati ya watu wanajua kujipendekeza Kijana anaweza,na kati ya wanajua kutoa fitina bashite namba o1. AMEMLIPA FADHILA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika Mzee Kikwete pamoja na kutuacha vibaya kwa kutusukumizia baadhi ya viongozi (kama wanavyo kiri wenyewe) ila kwa kutuachia CAG mkweli na mcha Mungu asiye na muda wa kujikomba ulicheza kama Pele.
Hivi asingekuwa Assad huu wizi tunsoambiwa ume originate from patakatifu nani angejua?
Ila sasa wana haha kumchangsnya arudi nyuma
Acheni unafiki nyie kwani kipindi cha Richmond na Tegeta Escrow ilikuwa kipindi gani. Binadam wengi hatujakamilika . Hata Kwa kikwete mapungufu yalikuepo Mengi. Na Magufuli akimaliza mtampongexa tuu . Tena mtasema Bora Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa kweli, waadilifu na wenye hofu ya Mungu kama GAG, Prof. Mussa Assad, huwa hawatakiwi katika serikali ambazo Mkuu mwenyewe ndiye anayeongoza kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni za matumizi ya fedha za umma kwa kufanya matumizi bila kuidhinishwa na bunge.

Ingekuwa position hiyo ya CAG haina security of tenure, Assad angeisha ngolewa siku nyingi na kosa lake ni moja tuu kuwa mkweli daima na muadilifu.

Niliwahi kuuliza humu

Hii Tumbua Tumbua ya Rais Magufuli, Hivi Kikwete Anajisikiaje?!. Anajisikia Sifa Au Anajuta?!. - JamiiForums
P.
Kuna wakati NGULI wewe unafanya yanayompendeza Mungu,lakini kuna wakati mmh!!!! Au kwasababu uliitwa kama Cag? Tuweke wazi mkuu. Nikikuangalia usoni kwako naviona vitu viwili 1, UJASIRI. 2,WELEDI. Kuna wakati najiuliza kwanini usivitumie vipawa hivi ulivyopewa na Mungu ili ule taabu pamoja na ndugu mpaka ukombozi upatikane!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hapa bongo kwenye utawala huu wa maccm hata angeletwa yesu bado angefanyiwa figisu, si unakumbuka cag alishawahi kuamshwa aseme kama hela zimeibiwa hazina? yaani kama vile majambazi walienda kuvamia hazina, na cag alimjibu hakuna mheshimiwa!
Baada ya pale jiwe akadhani yameisha !
 
Cag ajae atatoka usukumani.. Tena anaweza kuwa ni mchunga ng'ombe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
No hatoki Usukumani, atatoka Chato.
Tenure ya CAG Assad inaisha 2023. Ili mtu ateuliwe CAG lazima wakati wa uteuzi awe na 10 years kabla ya retirement age, sasa ili mtoka Chato aweze kuteuliwa, Assad had to go, hivyo walikuwa wanamlia timing ateleze mahali wamchinjie baharini, very unfortunately hii ya Udhaifu wa Bunge ni kweli, ila wanaweza kumbania kwenye vifungu vya maadili.
P.
 
Kuna wakati NGULI wewe unafanya yanayompendeza Mungu,lakini kuna wakati mmh!!!! Au kwasababu uliitwa kama Cag? Tuweke wazi mkuu. Nikikuangalia usoni kwako naviona vitu viwili 1, UJASIRI. 2,WELEDI. Kuna wakati najiuliza kwanini usivitumie vipawa hivi ulivyopewa na Mungu ili ule taabu pamoja na ndugu mpaka ukombozi upatikane!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Lingamba Lidodi, usichuuzwe na kusoma usoni, hao wanaoonekana Jasiri machoni, mioyoni ni waoga kama kunguru. Na wakimya wanaoonekana kama waoga, mioyoni ni chuma cha pua.

Anyway thanks kuniona hivyo, nasubiri tuu my calling utanisikia.
P
 
Ukiamua kutwanga ukweli basi mkuu hiyo inaitwa "msumali kwa nyundo nigonge"
Ila kuna wakati ukipiga K Vant mbayo kuna kila dalili imekukataa bora rudi tuu kwa John mtembezi au JD tuu
Jamaa hujaachaga ulevi tu maana zimekuja pombe hadi nyingine sizifamu sijui kwakuwa nilishaachaga uanachamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAKUMBUKA BASHITE NA ISSUE YA "wizi smartphone"BUNGE MAALUMU LA KATIBA.
Ahhh sasa wewe tunaanza kukumbusha ya kale! Ila ile nilikuwa sign kuwa huyu kijana ana asili ya tamaa maungoni mwake. Yaani pamoja na posho ya laki tatu kwa siku una kwapua smart phone?
 
Back
Top Bottom