Hongera Kamanda Mbowe!!

unayesema bora mwigulu nahisi utakuwa na tatizo la ukosefu wa elimu shirikishi huna elimu ya kupambanua mambo
 
Mbowe aatumia misukule yake kama Tumaine Makene na Lissu kushambulia wabaya wake.

Hawezi kusimama mwenyewe kupambana kwasababu ana mapungufu mengi sana.

 
Mbowe sio mwadilifu kwani amewageuza wabunge wa viti maalumu kuwa vimada wake

We have heard much of these allegations and have been proved minor maana si zilizowanyima Watanzania elimu inayowafanya wawe critical and critique minded na kuishia kulamba viatu vya wakubwa. Hawa ndio wabaya na ndio tunahitaji kupambana nao. Heko Kamanda Mbowe
 
Bavicha kweli kama si gongo mnavuta bangi, si ajabu kwenu. Mtu mwovu kama shetani jekundu amabaye ana kila aina ya ufisadi, aliyesema narudisha gari la serikali akalirudisha mchana akaenda kulichukua tena usiku na bila aibu anatembea nalo mchana hata hamumwulizi. KWELI NYIE PAMBAFU KABISA, anachukua hela kwa RA halafu anakuja kwenye cha anakikopesha hela hile kwa riba nyie mmetoa macho kama mazuzu, anakiuzia chama magari mabovu eti M4Chagani mnashangilia kama hamnazo (uliza ziko wapi hizo scrap sasa, maana hazionekani mtaani tena), anakula michango yote ya nyie mbwiga mnayotoa mikutanoni akijifanya chama ni amskini akisema pp nyie mnatoa magige kama vichwachwa. Kawaroga kwa kuzika mbuzi watatu au mkoje nyie nyambafu. Nawasikitia kwa kutojitambuana mkija kujitambua yuko Dubai kama si na Joyce Mkya ni viti maalum yeyote cdm. Ilisemwa anawachanganya hata wenzake lakini wanamwamini, huoni kwamba kawazidi akili m.ch.a.ga./ Kalaghabao
 

D you have concrete evidence to support your allegations? Mbowe as been liquid for so long and he among few investors with good track records in business and tax paying. Relying n what an opportunist boy has said brand Mbowe is tantamount to thinking at the level of an hydra
 

Kitanda usichokilalia kinakuwashia nini. First of all put your house in order and then you can stand tall and have moral opportunity to point an accusing finger to others. Nenda kawashauri wale ambao mwenyekiti wao alikiri kuwa hali si shwari kiasi cha kuogopa kuacha glass mezani. Your allegations are childish architected by super opportunist boy who still has milk teeth on political arena
 
Yamepoteana magamba MBOWE ni jembe mkisikia mbowe matumbo ya kuhara yanawabana
 
Mtu ukiwa kibaraka kwa muda mrefu inafikia wakati unakuwa roboti mpaka kufikiriwa unasaidiwa. Tumieni akili acheni kuwa na ushabiki wa kijinga mpaka mnapoteza uwezo wa kufikiria. Hivi leo ukiambiwa utoe ushahidi kuwa Mbowe anapokea mshahara kutoka kwa Rostam utaweza kuutoa. Hivi Mbowe ndiye anayeweza kupokea mshahara kutoka kwa Rostam, ana shida gani ya fedha kiasi hicho? Nyie vibaraka wa Zito, mfikirie msidanganywe kama kondoo.
Hata hamfikirii, Zito kawaambia kuwa Mkono amempa hela Mbowe, Mkono kakataa hadharani kuwa hajampa hela hata siku moja.
Tundu Lissu kawaambia kuwa Zito kahongwa magari mawili na Mkono, Mkono alipokuja kasema “sio kweli” moja kamuazima na linguine sijui kamuuzia. Hata mwendawazimu anajua kuwa haya ni maneno ya uwongo. Umuazime gari mtu kwa miaka miaka zaidi ya mitatu?
Tatizo vijna kwa tamaa za pesa mumeamua kufanya siasa za kimbea kimbea bila facts. Na watu wa taifa hili kama wanavyodharauliwa na Muhongo kuwa ni wavivu wa kufikiri na kusoma, nadhani wewe ni mmoja wao.
Leo Zito akikuambia kuwa akugeuze, utageuka kwa sababu ndiye unamwamini hata akikudanganya, utaamini tu. Soma, stretch your brain, fikiri, chambua na utafahamu sio kudanganywa tu kila siku.
Hapa tu utaona mtu akiandika jambo kirefu, page tano utasikia visingizio vingi, ooh ni ndefu sana, haina paragraph nk, unangoja your master aje akusomee alafu akuambie uongo wakati ungeweza kusoma mwenyewe.
 
aliyekuambia uongozi mpaka uwe na madegree mingi ni nani?watu wanazaliwa na karama za uongozi,huwezi kupima uwezo wa lowassa(1degree,arts)na kikwete(phd),lowassa yupo juu.na hili ndilo linalotokea kwa mbowe amejenga chama vizuri,nakumbuka kipindi kile makao makuu chadema walikuwa na gari moja tu(vitara)lakini baada ya miaka kumi chama kina gari za kisasa(200 ford)chama kinaendeshwa kisasa.kwanza mbowe mimi ndio role model wangu kwenye siasa za tz.
 

Povu la nini Kijana!? Sisi CDM tunamwamini,Kama nyie mnavyo mwamini Pinda,Nape,Mwigulu na Wengineo.. hata NCCR wana imani na Mbatia,Huku kwetu Mbowe ni Jembe tosha kuwaburuza MaCCM...
 
Mbowe aatumia misukule yake kama Tumaine Makene na Lissu kushambulia wabaya wake.

Hawezi kusimama mwenyewe kupambana kwasababu ana mapungufu mengi sana.

Kama ambavyo huwezi kutia Rangi upepo,ndivyo ambavyo hauwezi kuubadili uwongo uwe Kweli.. Mbowe atabaki kua Jembe na mfano wa kuigwa kwa Wenyeviti wa Vyama akiwemo JK...
 

Anderson we umekuwa nani kumyooshea mwenzio kidole chako hicho na kumhesabia dhambi umekuwa MUNGU wewe???? Angalia ni vidole vingapi vimekugeukia baada ya hicho ulichomnyooshea mbowe... na elimu yake ni ndogo hiyo yako kubwa iko wapi umeifanyia nini hadi umri huo ulonao???? Tafakati kabla hujaandika
 

Una wivu wa kike,na kama sikosei we ni mtalaka wa fulani.
 
hebu angalia ulichokiandika hata wewe ungekubali mchana uchafuliwe na mtu huyo huyo usiku umpe pesa kwa ajili ya kukuchafua?? kwel ukiamini sana unaacha kufikiri we umeweka Uccm ni dini yako ndio maana unaamini ujinga. kukaa kimya kwa Mbowe kuna maana sana hata waswahili husema kukaa kimya ni jibu la lenu wajinga. Mbowe ana akili sana nyie endeleeni kutukana ye anawapa maarifa watanzania 2015 ndio mtaelewa Mbowe ana akili au hana
 

Uko sahihi kabisa... Angalia jinsi Nape na Kinana walivyoanikwa na JK kuhusu mijigambo yao juu ya Mawaziri mizigo.. sasa zimebaki Bifu tu Lumumba
 
Mbowe no kiongozi mzuri ataheshika tuu akiacha demokrasia ichukue mkondo ndani ya cdm name Apache Tamara ya madaraka name ukubali klla MTU aruhusiwe kugombea place amushauri katibu wake Dr slaa aache kujenga makundi ndani ya cdm vlnginevyo hatufiki popote henry matata mza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…